Ningependa kuanza kuweka mzigo pia. Juzi nilifungua account na Meridian. Wadau nijuzeni, hivi kuweka hela kwenye account utaratibu wake upo vipi. Na je mkeka ukikubali utaratibu wa kupata huo mshiko upo vipi.
SOMA VIZURI HIZIKweli kaka,.leo nilimpiga 30,.asubuh tuu.sinikanogewa saahz najuta nshapulizwa 70 hvhv najitazama.
SOMA VIZURI HIZI
Guard Against Problem Gambling
Monitor your playing behaviour regularly to see if you are playing excessively. Heres a quiz to see if you are facing a problem:
KATIKA HAYA MASWALI 20....KAMA MASWALI 10 NA ZAIDI YAMEKUHUSU...UNASHAURIWA UACHE KABISA AU UFANYE KAMA KAMCHEZO TU USIFANYE KAMA KAZI.
- Did you ever lose time from work due to gambling?
- Has gambling ever made your home life unhappy?
- Did gambling affect your reputation?
- Have you ever felt remorse after gambling?
- Did you ever gamble to get money with which to pay debts or otherwise solve financial difficulties?
- Did gambling cause a decrease in your ambition or efficiency?
- After losing did you feel you must return as soon as possible and win back your losses?
- After a win did you have a strong urge to return and win more?
- Did you often gamble until your last dollar was gone?
- Did you ever borrow to finance your gambling?
- Have you ever sold anything to finance gambling?
- Were you reluctant to use "gambling money" for normal expenditures?
- Did gambling make you careless of the welfare of yourself or your family?
- Did you ever gamble longer than you had planned?
- Have you ever gambled to escape worry or trouble?
- Have you ever committed, or considered committing, an illegal act to finance gambling?
- Did gambling cause you to have difficulty in sleeping?
- Do arguments, disappointments or frustrations create within you an urge to gamble?
- Did you ever have an urge to celebrate any good fortune by a few hours of gambling?
- Have you ever considered self destruction or suicide as a result of your gambling?
[TABLE="class: lay1, width: 610"]
[TR="class: match status_5 livegame ft LId_37811 KId_71 tv"]
[TD="class: status alt, align: center"]FT[/TD]
[TD="class: home, align: right"]Trabzonspor[/TD]
[TD="class: result, align: center"]0-0 (0-0)[/TD]
[TD="class: guest"]Akhisar Bld.[/TD]
[TD="class: info, bgcolor: #E1E6D2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
niliweka vogue nipate hummer kama ulivyonishauri....
Meridian bet ni wezi au hawataki tutoe pesa yetu tukiwala?? Nimetoa mzigo tangia saa 9 mchana mpaka sasa hakuna lolote.. Nikiingia kwenye account nakuta wameandika Balance yangu + Pesa niliyotoa, Kwa mfano 1000+(200). Sasa nashindwa kuwaelewe, kumbe wenzetu pia tukiwala wanaumia sana, mbona sie wanatupiga mara nyingi tu tunavumilia tunavumilia. Alafu nawapigia simu hawapokei.. Pumbaffuuu sana hawa
mkubwa vogue ndio ishakwenda.....Kwa hiyo unataka vogue yako siyo?
dah mi muindi kanpiga za uso wiki nzima
mechi ya atletical umeiweka ina odds ya 1.01, ni bora usiiweke timu yenye odds za hivi kwa sababu ukiitoa unapata returns zile zile wakati inaweza kukupotezea mkeka.
Karibu sana.
Asante kwa ushahuri maana wengine ndiyo tunaanza
Mechi ya Atletical umeiweka ina odds ya 1.01, ni bora usiiweke timu yenye odds za hivi kwa sababu ukiitoa unapata returns zile zile wakati inaweza kukupotezea mkeka.
Karibu sana.
ajax kaondoka na wengi saana leo....
chezea cups...
[TABLE="class: lay1, width: 610"]
[TR="class: match status_4 livegame clock_active result_active starguest LId_36689 KId_66 tv"]
[TD="class: status alt, align: center"]66'[/TD]
[TD="class: home, align: right"]AFC Ajax
[/TD]
[TD="class: result, align: center"]0-4 (0-2)[/TD]
[TD="class: guest"]Vitesse Arnhem*
[/TD]
[TD="class: info, bgcolor: #F0EEE9"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Yaani Ajax anapigwa nne.
Benfica anapigwa na Braga. Besktas anapigwa kwake. Daaah kweli nimekomaaaaaaa.