Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh wajerumani wamenitenda vilivyo
Kesho nayo siku ngoja tujaribu ikikaa vibaya basi ndo twaaga haya mambo
 
Ndio raha ya kubet first half, hakuna presha za ajabu ajabu za dk90 we unapigwa zako za uso unakaa pembeni 😡

Haha daaah kaka kumbe tumetiwa za uso sawa daaah! Hull City mse*ge nilimpa First half draw afu kapigwa *****.
 
Duh wajerumani wamenitenda vilivyo
Kesho nayo siku ngoja tujaribu ikikaa vibaya basi ndo twaaga haya mambo
schalke 04 ni maquma, wiki iliyopita walikuwa home nikawaamini wakanitenda, leo nimewaamini tena kuwa hawezi zingua gemu nyingine ya home wamenitenda! bora ningejiulia vizuri tu borrusia dortmund!! siwapi dhamana tena schalke o4!! mbunye yake di matteo
 

Huyo shalke na wajerumani wenzake ni wapuuzi sana sibet ujeruman tenaaa
 
apo mmenena tuweke ushilikiano jaman tumle uyu muhindi....mana wengine tunalia tu!!
 
Inabidi siku moja watu kama 20 tule milioni 5 kila mtu nae ajisikie kauchungu huyu jamaa hajawahi pata hasara
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
tuanze na kesho tunaangalia fixture internet afu tunapeana mawazo
 
Yaaani dallas kapewa 1.96 under 195.5 apo still 3rd quarter sasa sijui imekuBali kujisubmit or
Maana network imekata ikiwa inajisubmit
Yaaani hawa meridian
😢😢😢😢😢😢😢
 
Yaaani network imerudi na hawaku submit na washaongeza imefika over/under 205.5 1.85
Yaaani hawa
 
Finidi "George" achana na timu Za Turkey, jamaa ni wabaya ktk match fixing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…