Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man utd wameharibu tayari
Ndio raha ya kubet first half, hakuna presha za ajabu ajabu za dk90 we unapigwa zako za uso unakaa pembeni 😡
schalke 04 ni maquma, wiki iliyopita walikuwa home nikawaamini wakanitenda, leo nimewaamini tena kuwa hawezi zingua gemu nyingine ya home wamenitenda! bora ningejiulia vizuri tu borrusia dortmund!! siwapi dhamana tena schalke o4!! mbunye yake di matteoDuh wajerumani wamenitenda vilivyo
Kesho nayo siku ngoja tujaribu ikikaa vibaya basi ndo twaaga haya mambo
schalke 04 ni maquma, wiki iliyopita walikuwa home nikawaamini wakanitenda, leo nimewaamini tena kuwa hawezi zingua gemu nyingine ya home wamenitenda! bora ningejiulia vizuri tu borrusia dortmund!! siwapi dhamana tena schalke o4!! mbunye yake di matteo
point...lazimaa tushirikianeee..
saint ettien,fiorentinaNishauriniii leoooo tumpe nan mzigo waungwana..