Buku 5
Zali la mentali..
Hayo majanga sasa!
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Normal b.munich dortmund atletico na monaco nataka nipate mtaji wa game za usiku na kesho
Cardif kaninyima madafu leo
Kachukue pesa yako paka mbaya timu zako zote zimevua cap..
Kibanga ampiga mkoloni tokea apigwe na mdosi haonekani humu na prediction zake
Kibanga ampiga mkoloni tokea apigwe na mdosi haonekani humu na prediction zake
Hahahaha anaugulia,
Huu mchezo umekua mgumu sana kwangu kwa siku za karibuni......itabidi nipumzike kujipanga kumvua kanjibah.....