willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Kesho wale wa basketball sacramento win
Anacheza na nani?
Usije ukawa unazungumzia game iliyochezwa leo asubuhi na Cleveland.
bado kaka mikeka yangu inapumuaApolo ,chania ....washatia huzuni watu.
bado kaka mikeka yangu inapumua
bado kaka mikeka yangu inapumua
namsubiria larissa
Aksante kaka, nishaanza kumjua huyu jamaa subiria tu ntakuwa narusha kila siku humu mikeka ya uhakika.leo namsoma kwanza.Nakuombea bhana
Aksante kaka, nishaanza kumjua huyu jamaa subiria tu ntakuwa narusha kila siku humu mikeka ya uhakika.leo namsoma kwanza.
sochaux asha mpiga mtu mbili
Nomeona aisee huyu sochaux kanifurahisha dkk 16 katia goli 2
kuupata mtaji kama huoo sasaa..,,
Nilikua na mtaji wa $386 but niliutoa kuhofia muhindi angenipiga but now inabidi ni start from the bottom again