Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka umegeuka chujio kwa mechi 2 tu....tamaa mbaya!
 

Attachments

  • 1421096144816.jpg
    104.1 KB · Views: 170
Valencia WIN
Halifax WIN
Barrow WIN
Goport Borough WIN
Chippenham WIN
Poole Town WIN
Bristol City WIN
Chesterfield WIN
Wolves WIN
AC Milan WIN

Kwa 2,000/= inatoa 458,000 set ya normal kwa mhindi. Leteni maoni yenu investors.
 

Valencia hapo tu....sijui lakini lkn kwingine kama mimi vile
 

Mkekea umetulia,ila Valencia huwa anapata upinzani mkali sna anapocheza na Espanyol akiwa home!
 
Pesa ipo hapa leo.

Bristol city - Win
Chesterfield - Win
West Ham - Win
Wolves - Win
Bastia - Draw

Natia 5000 nitoe 164,000
 

naona umeikimbia westham kaka?
 
barrow mwanangu anaeza toa draw??????????
 
Bristol win
wolves win
malaga win
scunthrope win
valencia win. Nimeamua kuingia chaka leo
 
Pesa ipo hapa leo.

Bristol city - Win
Chesterfield - Win
West Ham - Win
Wolves - Win
Bastia - Draw

Natia 5000 nitoe 164,000

Biashara ngumu mkuu...ilikuwa iwe draw sema lefa na alikuwa KABETI game hiyo hiyo anayochezesha
 

Attachments

  • 1421177906122.jpg
    29.1 KB · Views: 110
Pasua kichwa hizi timu looooo!! Lefa nae utadhani kabetia hii timu
 

Attachments

  • 1421178009735.jpg
    16.9 KB · Views: 120
Bristol win
wolves win
malaga win
scunthrope win
valencia win. Nimeamua kuingia chaka leo

Umeliwa na mhindi.. valencia and malaga have never emerged winner katika mechi ambazo wamecheza wakati mmoja.
 
Hapa ni basketball tu.. Game za saa 9 NBA zitanisamehe ila saa 11 na 12 naziamkia.. Mpaka saa 2 najua nitakua nishavuna 50..
 
Hapa ni basketball tu.. Game za saa 9 NBA zitanisamehe ila saa 11 na 12 naziamkia.. Mpaka saa 2 najua nitakua nishavuna 50..
Jamani tupeane tips maana m mwenyewe nitakuwa macho nipo ktk mafunzo but siweki mzigo mkubwa maana ninajifunza nipo radhi 10000 iishe kwa kuweka 100 paka niielewe vizuri
 
Jamani tupeane tips maana m mwenyewe nitakuwa macho nipo ktk mafunzo but siweki mzigo mkubwa maana ninajifunza nipo radhi 10000 iishe kwa kuweka 100 paka niielewe vizuri

Aah nimechelewa mkuu.. Kama kawaida over zimenipa pesa nzuri tu asubuhi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…