Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau uefa hii hapa tena, mie game ya man city vs barca ndio naiona kama italeta gundu maana nataka nimpe city coz form yake saiv ipo juu, sema messi, iniesta na neymar wananiogopesha
 
Wadau uefa hii hapa tena, mie game ya man city vs barca ndio naiona kama italeta gundu maana nataka nimpe city coz form yake saiv ipo juu, sema messi, iniesta na neymar wananiogopesha

Mpe huyo huyo man city hawez kukuangusha..
 
wakati wa mavuno a.k.a wakati wa kuvunja kibubu a.k.a wakati wa kumdhalilisha kanjibah
Nisipopata mtaji wa kufungulia biashara na hela ya kununulia Altezza kutoka kwa Muhindi nastaafu kubet
 
wakati wa mavuno a.k.a wakati wa kuvunja kibubu a.k.a wakati wa kumdhalilisha kanjibah
Nisipopata mtaji wa kufungulia biashara na hela ya kununulia Altezza kutoka kwa Muhindi nastaafu kubet

Mbona Wengine tunakula kwa manati?? Hebu tupe maunjanja...
 
hii mikeka ishakuwa ovyo siku izi.....galatasalay alichonifanyia jana hakisimuliki ....pooooor mancini ...drogba na wachezaji wenu wote
 
Duh, kweli kazi ipo. Naomba nitembelee nyota ya mtu leo. Aliyebet aweke mkeka wake niucopy.
 
Kanjibah ananikondesha two weeks nil nakuwa mnyonge mbele ya kanjibah ila ngoja najaribu hii psg sare barca anashnda
 
Duh, kweli kazi ipo. Naomba nitembelee nyota ya mtu leo. Aliyebet aweke mkeka wake niucopy.

wape leverkuren,mancity,wigan,leyton,cambridge na watfod. Ila hapo mi nimeweka mikeka miwili..
 
Mm nmeweka city na psg ushindi halafu mke mwingine derby,watford na bradfod ushindi.
 
Duuuuuuuuuuuuuhhhhhhh, kumbe nimekosea njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…