mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
sometyme hadi usiku ndo unapata. Cha msingi ni kusubira ukiona hivo wameshnda watu wengi kwa hyo mashine yao ya m pesa inakua slow
Upepo wa leo vipi wapi kuna hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sometyme hadi usiku ndo unapata. Cha msingi ni kusubira ukiona hivo wameshnda watu wengi kwa hyo mashine yao ya m pesa inakua slow
Arsenal draw,milan win
Naweka kinyume hapa, ars win milan dro
ngoja nisikilizie kwanza nitaweka mkeka kesho leo hapatabiriki kabisa
kesho games nyingi sana uefa ndogo, tushindwe kujilipua wenyewe
CEO kimya sana siku hizi,
umewaakabidhi mikoba deo na rahimu nini?
Hahahaa umeona eehh CEO siku hizi kasanda 😉 ,,, na kibanga nae haonekani kabisa...
Hahahaa umeona eehh CEO siku hizi kasanda 😉 ,,, na kibanga nae haonekani kabisa...
hamna mbona nipo kilingeni wakuu sema natafuta dawa ya kumkalisha kanjibah
leo hali tete nime-save hela kwa gemu za kesho, vipi wewe?
Nimejaribu kuongezea mtaji wa kesho ndio nasikilizia...
Kuna uwezekano wa kutoka kapa leo! Arsenal wanakaza wakati wapo down!