Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Probability hiyo sidhani kama wanaweza kusema exactly na ikatokea hivyo hivyo
 
Spurs na lyon wamechana mikeka yangu 3...lazio,porto na ajax labda wataokoa jahazi
 
Spurs wamekallia 1,
Fiorentinav wamezshinda 3
Juve wameeshinda 2
Valencia wameshinda 2
Benfica wameshinda 1
Lyon wamedraw

Mkeka umechanika tayari

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mbona M-BET wanazingua?wanatuma namba ya tarakim 3 wakati zinatakiwa at least 4 kwenye M-PESA
 
[TABLE="class: table, width: 284"]
[TR="class: even"]
[TD="bgcolor: #292C2E"]Ajax-Salzburg
49'

0:3

[COLOR=#FFFFFF !important]Final Result

1

60.00

X

[COLOR=#99CC00 !important]24.00[/COLOR]

2

1.02

[/COLOR]​

[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="bgcolor: #222527"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

ajax hali mbaya
 
Jamani nipeni hatua za kubet via mpesa kwani nipo mbeya alafu huku vile vimashine havipo na ndivyo nilivyovizoea,ila nasikia mbet wanaanza na buku ila sijui malipo yao inakuwaje!hawazingui?
 
Jamani nipeni hatua za kubet via mpesa kwani nipo mbeya alafu huku vile vimashine havipo na ndivyo nilivyovizoea,ila nasikia mbet wanaanza na buku ila sijui malipo yao inakuwaje!hawazingui?
piga *149*19# then fata maelekezo
 
Wazee wa kubeti mpooooo

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Back
Top Bottom