Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We bet kila styl ila kipigo utapata tu
 
Naona leo watu wamekata tamaa maana sio kwa kimya hakika kanji uendelee kudumu ila kauli yetu ni moja lazima siku moja hela zetu zirudi
 
Kisumapai hiyo avatar yako huwa inanivunja mbavu sanaaaa
 
Naona leo watu wamekata tamaa maana sio kwa kimya hakika kanji uendelee kudumu ila kauli yetu ni moja lazima siku moja hela zetu zirudi
mikeka imesha wekwa bana wewe hutaki kuitafuta tu
 
karvina u21 emamesha nilaza njaa kesho nayo ni siku alasri njema
 
Euro handicap inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…