Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Naomba msaada Wadau hivi wanapoandika 1.5goals over unabet sehemu gani maana kwenye M-BET na sportpesa kuna 2.5 over/under
 

Attachments

  • TMPDOODLE1507016036826.jpg
    35.4 KB · Views: 57
  • TMPDOODLE1507016138762.jpg
    35.4 KB · Views: 48
Jezi gani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
leo nimeota

birmingham kapiga mtu goli zaidi ya 3+

Derby nae kapiga mtu goli mbili moja

NB:nna siku tatu sijabeti wala sijafungua livescore/flashscore hivo hizo ndoto zimekuja nikiwa sina akili ya kubeti....

kama kuna hizo game leo weka hata mkeka hautojuta, na kama sio leo basi siku game ikipigwa weka
 
Macclesfield wi /draw
Lecce win
Scunthorpe win

Portsmouth win
..[emoji115][emoji115]then unatembea kibabababaaaaa tukutane baadae my teams....ndo mkeka wangu wa kwanza kuupost b4 cjawin una kila baraka
 
0675329903 hiyo hapo kiongozi, mm itabidi niwahame coz wanazingua.

Wanazingua sana ndugu yangu...! Hata mie bado nahangaika nao, wanasema mtandao wa simu ndiyo unashida na siyo wao.

Nikawaambia itabidi niwahame, hawaogopi hata kupoteja mteja wanasema “sawa”.

Customer care mbovu sijapata ona.
 
Over 1.5 kampuni nyingi sana ipo...Mfano Meridian, Premier, Mkeka bet, Princess Bet.

Achana nao hao M-bet,Sports pesa.
Umeongea mbolea sana ukitaka pesa uwez cheza kwa mbet wala spotpesa,options chache sana hawana hata Inplay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…