Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

umewaulizawaliokopa wanavyodaiwa ssa?kwa upuuz wa brasil.argentina.......
 
kane mwanaume saaana Eng alikua anachomaa ,InshaaaAllah nimepata hata hichi kidogo[emoji120]
 
Bro umebet kwenye kampuni nzur na yenye option ya kuturbo; ungewah tu mapema; sometimes zingn zikikubali unatoa mapema.
hiyo ni meridian bet na wana turbo pia ila nimekuja kugundua kuwa Turbo inachagua kifaa, kuna baadhi ya smartphone hazikubali na pc haikubali...sijajua kama mimi ndio nakosea kuangalia..
 
Princesbet toka jana site yao haifunguki, ni kwangu tu au kote??
 
Jamani nielekezeni jinsi ya kuweka pesa kwenye Meridianbet kwa mpesa sijafanikiwa hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…