mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Nimejiunga na iplay8casino tena nikadeposit dola 2 lakini mbona sijapewa hyo bonus ya dola 8 ?
jaman me new member humu jamvini ila ni mchezaji mzuri sana hii mambo(kubet) nipeni ushirikiano jamani
Yah nilijiunga nao ila hyo bonus ya 8$ sijaipata hadi leo(nahisi ilishafka kikomo)Mkuu umefanikiwa na hiyo iplay8casino naomba unisaidie what next after sending Id card kuna any feedback wanatoa??
Upo kama Mimi mkuu roma kaniharibia mikeka baada ya kwenda extra tym
hUU ni mchezo mbaya sana ni zaidi ya mtumiaji wa madawa ya kulevya na kwa sasa umeshamiri kwa vijana wengi nchini nawaasa wache mara moja
Wadau kumbe game likienda zaidi ya dk 90 hupati kitu...though nilibet exact score na ikatiki...lol
nimeweka mkeka wa nigh nimewapa
cape verd
reims
udinese cap
sevila cap
paraguay cap
Wakuu naombeni maoni yenu jinsi ya kumchakaza muhindi kwa kutumia first/second half/FT bet (wenzangu na mimi tunaiita ngumu kumeza). Hii fixture naona imepewa point nyingi sana kulingana na megamix na long list.
Wataalam wa betting, mnaionaje hii??
Kuna mbinu gani za kuwa kinara wa hii fixture?
cc Raimundo, Deo Corleone, NkyaH, na wataalam wengineo.
ushaambiwa hiyo ngumu kumeza ndugu yangu HAIMEZEKI UKIWEKA DAU KULIWA SECONDS LAKINI UKILA AAAAAH MBONA UNAJENGA NYUMBA KULE KISALAWE YA VYUMBA VITATU
LAAÀÀKINI MBAKA ULE HIYO NI SHUGHULI CUNAMJUA MUHINDI MWENYEWE ALIVYO YAANI HALIKI KIRAHISI.....
KAMA JANA CUNAMUONA NAPOLI NA MWENzie walivyochana mikeka basi muhindi akiona hivyo anakaa viUri kwenye zuria lake utasikia
" shabaaani ongeza kikombe cha kahawa bhana iko piga wale Tanzania bhna"
hpo anaagiza vikombe vya kahawa tyuuuu daaaah Muhindi huyu jamn........?????
na usiombe kwenda kwenye mabanda ya meridian kuna MBWA HAO WANANG' ATA WAKIENDA WAKIRUDI WASHANG' ATA WATU DAAAAH
hahahaaaa!! mkuu umetisha..
sasa mkuu kwa meridian bet na premier bet nani bora wa kulika kirahisi?
nimepewa neno kwamba meridian bet unaweza kutabiri mpaka kwa percentage kwamba kama umebeti timu 10, basi zikishinda 80% unaweza beba pesa zako na kusepa. inawezekana kweli mkuu??
Mchana wa leo naelekea tip top hapa magomeni Dar nikaslaimiane na mikeka ya mzungu...
hahahaaaa!! mkuu umetisha..
sasa mkuu kwa meridian bet na premier bet nani bora wa kulika kirahisi?
nimepewa neno kwamba meridian bet unaweza kutabiri mpaka kwa percentage kwamba kama umebeti timu 10, basi zikishinda 80% unaweza beba pesa zako na kusepa. inawezekana kweli mkuu??
Mchana wa leo naelekea tip top hapa magomeni Dar nikaslaimiane na mikeka ya mzungu...
hyo percentage ipo sehem gan kwnye meridian.
Ipo pale kwenye jedwali kwa wanaocheza online meridian. Ukimaliza kuchagua timu, kisha ukaandika kiasi cha pesa. Pale kwenye jedwali kuna ma-box 3... MULTIBET,OK na COUNCEL. Unapiga multbet ndo unakuta wamekuandikia mfano uliweka timu kumi(10). Unakuta 1/10,2/10,3/10,4/10,5/10,6/10,7/10,8/10,9/10,10/10.
Unachagua mwenyewe unataka timu ngapi zishinde kati ya hizo kumi... na ndivyo dau la kula mpunga linavyopungua... wakati mwingine wanatumia neno ATLEAST.