Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jaman me new member humu jamvini ila ni mchezaji mzuri sana hii mambo(kubet) nipeni ushirikiano jamani
 
Mkuu umefanikiwa na hiyo iplay8casino naomba unisaidie what next after sending Id card kuna any feedback wanatoa??
Yah nilijiunga nao ila hyo bonus ya 8$ sijaipata hadi leo(nahisi ilishafka kikomo)
Kuhusu swala la id card nahisi hawarudish feedback coz hata mimi nilipowatumia hawakunijulisha chochote , we chakufanya endelea kubet i hope utakapo request kuwithdraw ,watakutumia bila shida
 
nimeweka mkeka wa nigh nimewapa
cape verd
reims
udinese cap
sevila cap
paraguay cap
 
USHAURI: Wadau wenzangu, naweza kupata faida ya 30,000 kila siku kwa kupitia AFCON kw kumuua mhindi, Fanya hivi.
Weka mechi 2 first half draw, stake yake minimum ni 4.10 hapo weka 10000 kesho yake una 40,000 bila wasi wasi. Waafrika hawafungani first half wadau, hiyo ni pesa ya wazi wazi.
 
Ahaaaa hiyo umesema kaka 45 ht ndio mpango mzima timu nyingi hutoa draw
 
Wakuu naombeni maoni yenu jinsi ya kumchakaza muhindi kwa kutumia first/second half/FT bet (wenzangu na mimi tunaiita ngumu kumeza). Hii fixture naona imepewa point nyingi sana kulingana na megamix na long list.

Wataalam wa betting, mnaionaje hii??

Kuna mbinu gani za kuwa kinara wa hii fixture?

cc Raimundo, Deo Corleone, NkyaH, na wataalam wengineo.
 
Last edited by a moderator:

ushaambiwa hiyo ngumu kumeza ndugu yangu HAIMEZEKI UKIWEKA DAU KULIWA SECONDS LAKINI UKILA AAAAAH MBONA UNAJENGA NYUMBA KULE KISALAWE YA VYUMBA VITATU

LAAÀÀKINI MBAKA ULE HIYO NI SHUGHULI CUNAMJUA MUHINDI MWENYEWE ALIVYO YAANI HALIKI KIRAHISI.....

KAMA JANA CUNAMUONA NAPOLI NA MWENzie walivyochana mikeka basi muhindi akiona hivyo anakaa viUri kwenye zuria lake utasikia

" shabaaani ongeza kikombe cha kahawa bhana iko piga wale Tanzania bhna"

hpo anaagiza vikombe vya kahawa tyuuuu daaaah Muhindi huyu jamn........?????

na usiombe kwenda kwenye mabanda ya meridian kuna MBWA HAO WANANG' ATA WAKIENDA WAKIRUDI WASHANG' ATA WATU DAAAAH
 
hahahaaaa!! mkuu umetisha..

sasa mkuu kwa meridian bet na premier bet nani bora wa kulika kirahisi?

nimepewa neno kwamba meridian bet unaweza kutabiri mpaka kwa percentage kwamba kama umebeti timu 10, basi zikishinda 80% unaweza beba pesa zako na kusepa. inawezekana kweli mkuu??

Mchana wa leo naelekea tip top hapa magomeni Dar nikaslaimiane na mikeka ya mzungu...
 
mmh hiyo option ya 80% mmmmh cjaickia hiyo nakama ingekuwepo mmmh ningefurahi kweli maana kila cku inanianfusha team 1 tyuu bhna daah CJAJUA LAKINI BT MZUNGU ANAOPTION NYINGI NDIYO UKICHEZA FREXH KILA CKU HUACHI KUPIGA PESA
 
hahahaaaa!! mkuu umetisha..

sasa mkuu kwa meridian bet na premier bet nani bora wa kulika kirahisi?

nimepewa neno kwamba meridian bet unaweza kutabiri mpaka kwa percentage kwamba kama umebeti timu 10, basi zikishinda 80% unaweza beba pesa zako na kusepa. inawezekana kweli mkuu??

Mchana wa leo naelekea tip top hapa magomeni Dar nikaslaimiane na mikeka ya mzungu...

hyo percentage ipo sehem gan kwnye meridian.
 
Ipo pale kwenye jedwali kwa wanaocheza online meridian. Ukimaliza kuchagua timu, kisha ukaandika kiasi cha pesa. Pale kwenye jedwali kuna ma-box 3... MULTIBET,OK na COUNCEL. Unapiga multbet ndo unakuta wamekuandikia mfano uliweka timu kumi(10). Unakuta 1/10,2/10,3/10,4/10,5/10,6/10,7/10,8/10,9/10,10/10.
Unachagua mwenyewe unataka timu ngapi zishinde kati ya hizo kumi... na ndivyo dau la kula mpunga linavyopungua... wakati mwingine wanatumia neno ATLEAST.
 
kumbe ndo hiyo? niliuliza juzi hiyo option humu.

so unaweza weka timu 20 ukachagua kumi zishinde,na zikishinda unakula fresh?

kama ni hivyo then afadhali ya hayo.

rahim_baharia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom