Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bora we we Mkuu umerudishiwa pesa
 
Wanafanya ujinga wao had I kwenye mambo ya msingi, wasiigize kama kina mpoki na kajala wao
ESP vs ALB
Score: 3 - 0
Min: 26
[emoji460] Goal!! Thiago
Spain

Deal done
OV 2.5 [HASHTAG]#kabooooooooooooom[/HASHTAG] WEKA OV 3.5 /4.5 NA GG

Uturuk anafia nyumban

Hao Iceland sio wa pole pole Chief ...mi nlijua Iceland wanashinda kbs hii game. Si unakumbuka Euro walivyowashangaza watu? ...wako vzr sn hawa akina Son ...yani timu nzima majina yanaishia na neno "son"

Af walikuwa na odds zaidi ya 4
 
Acha kabisa mkuu wakat
Uturuk alikua na 1.8
Alaf Iceland nkimkuta na odd ya 5
Nmeamin odds hua tunazogopa tu
 
Betting ni noma sana, unabeti double 1×, first half time, dakika ya 34, hio timu ulioipa wine/draws(1×)kwa kuiamini, imeshafungwa 4 kwa mtungi. Hii kitu ni hatari ndo maana Hawarusiwi under 18 year, unaweza pagawa kabisaa.
hahahaha mkuu hiyo kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…