Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Nimekula mkuu. Bahati Mbaya kwenye kuchagua over 4.5 kumbe ilijiweka under 4.5
View attachment 603563
Denmark/Georgia na England/Scotland ni Youth U21 Euro Qualification. Watch me roar on this one ...
View attachment 603300
Hapa ndo utakumbuka ile sheria ya *Bet what you can afford to lose*ITALY.....ITALY......!!!! YAANI KASHINDWA KUTOA 3+.....SASA ITAKUAJE LEO!.......MAANA NIMECHUKUA PESA YA LUKU KWA WAPANGAJI WENZANGU TSH 50,000, NIMEENDA KUBETIA......ENGLAND U21...WAO WAMETOA FRESH 3+.........NIKAMPA NA ITALY 3+.....HAWAJATOA!...DUUU! PESA YOTE IMESEPA....NILITEGEMEA NIPATE CHOCHOTE HAPO LAKINI HAKUNA!...HAPA NIMECHANGANYIKIWA NITARUDI VIPI!............NITAWAELEZA KITU GANI WAPANGAJI WENZANGU WANIELEWE!!!....KWAKWELI NIMEDATA!....HUKU KUBET HUKU....KANJI KAONDOKA NA PESA YA WATU YA UMEME!!!!!!!!
View attachment 603596
KUPO GIZA WANASUBIRI UMEME.........WAPANGAJI...WOTE WAPO NJE WANANISUBIRI....DUUUUUUU!!
Ulimpajeushindi host anapigwa nje ndanUturuk anafia nyumban
UmeeaachajeHao Iceland sio wa pole pole Chief ...mi nlijua Iceland wanashinda kbs hii game. Si unakumbuka Euro walivyowashangaza watu? ...wako vzr sn hawa akina Son ...yani timu nzima majina yanaishia na neno "son"
Af walikuwa na odds zaidi ya 4
Uiona zinafwatana hivyo wahi gg n ov 1.5italy na viodds vyake vya 1.05 na mwenzake croatia 1.13,yaani sijui kanji anatuloga kidogo haiwezekani aisee..
Awa win [HASHTAG]#kbooooooooooom[/HASHTAG]TUR vs ISL
Score: 0 - 1
Min: 32
⚽ Goal!!
Iceland
*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +919043009928*
Iceland ahsante kwa ov 0.5 HT
[HASHTAG]#KABOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
NASUBIRIA AWAY WIN N UND 3.5 NIKALESUPU
Ukrainee shikamoooo sanatuuuuKVX vs UKR
Score: 0 - 0
Min: 42
Yellow to Artem Kravets
Ukraine
Weka UKraine win or DRW
Under 3.5 ft
Kale supu
*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +917397675108*
Umeeaachaje
jaman direct win sio ...ungempa over 1.5italy na viodds vyake vya 1.05 na mwenzake croatia 1.13,yaani sijui kanji anatuloga kidogo haiwezekani aisee..
Nimeshaidownload Aio lakn mbn zinagomq kudownload mkuu MillionPakua appstore inaitwa aio downloader isearch google andika aio , downloader apk ukishakuwa nayo hiyo search app yoyote ya kulipia utaipata free
Mkuu nilijua umestaafu kwa heshima[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Maraa paaap mil 300 hizi hapa,hehehehehe ngoja nijaribu bahati yangu yaweza kuwa nikawa milionea siku ya leo.
Hyo buku 5 bora ungecheza Hata tatu mzuka kuliko kubeti kwenye hiyo kampuni! We huoni watu wanavyolalamikaMaraa paaap mil 300 hizi hapa,hehehehehe ngoja nijaribu bahati yangu yaweza kuwa nikawa milionea siku ya leo.