Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ligi ya Kenya hapa umenena mkuu..haina magoli kabisa..under 3.5 ukiweka unasubiria tu utishe..
 
Ligi ya Kenya hapa umenena mkuu..haina magoli kabisa..under 3.5 ukiweka unasubiria tu utishe..


Hahaha, ila Gor Mahia akikutanaga na kibonde anapiga kwl kwl ... kikubwa kuangalia timu zinazocheza. Halafu siku moja moja kuna mambo ya red card, penalty etc ambayo yanainfluence matokeo.
 
Hahaha, ila Gor Mahia akikutanaga na kibonde anapiga kwl kwl ... kikubwa kuangalia timu zinazocheza. Halafu siku moja moja kuna mambo ya red card, penalty etc ambayo yanainfluence matokeo.
Kwa timu ambazo zinalingana uwezo ndo nilizokuwa nazisemea..mechi zote zilizowahi kuwapa under 3.5 hamna ambayo iliwahi kuenda vibaya hata moja..
 
Chief itabidi uzidishe ambazo zimeshatoa kwa hiyo stake (1,000) ... then utajua unapata sh ngp. Sema inabidi uwahi kabla ya game ya Yokohama haijaanza. Ikianza tu huwezi tena kuturbo.

Ahsante mkuu. Nimepata kama elfu 7.
Profit = 6,000/-. Inatosha kuanzia betting leo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…