Usimalizie bia uone anashindaUholanzi wameshaanza kuleta us3nge sasa
Dah..ngoja nione mwisho wake ingawa bia imeanza kushuka kwa tabu sanaUsimalizie bia uone anashinda
View attachment 604113
Goal moja la Netherland U19 limeninyima hela..! Haya buana. Sijachoka lakini..!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asante Robben
Ivi mkuu hawa meridian kuna tiket huwa hawaonyeshi matokeo ivi zinakuajeView attachment 604113
Goal moja la Netherland U19 limeninyima hela..! Haya buana. Sijachoka lakini..!
BLR vs NEDDah..ngoja nione mwisho wake ingawa bia imeanza kushuka kwa tabu sana
1-3Netherlands anazingua sana aisee
AND vs POR
Score: 0 - 0
Min: 57
Yellow to Moises San Nicolas
Andorra
MPE PORTUGAL WIN N UND 3.5 KALESUPU
Mpe 0-2
Kweli kushinda kila siku au kila wakati ni ngumu. Kinachotakiwa ni kuwa makini, pia mfuatiliaji sana wa mienendo ya timu husika.Betting is pure mathematics... Au Wamarekani wanaita Financial economics.
Hapa niko nasoma kuhusu theory ya Efficient market hypothesis nayo inasema, it is impossible to beat the market consinstently... Yani hata ukiwa mtalamu wa kubeti kiasi gani, hakuna uwezekano wa wewe kushinda kila siku, kwa sababu 'stock market' is a random walk...
Cruzeiro vs AA Ponte Preta
Score: 0 - 1
Second Half Begins!!
*WEKA GG N OV 1.5 kalesupu
Mkuu mwambie na wanalipa kodi kabisa tena mabilion ya tshsBongo inaitwa michezo ya kubahatisha na hadi wana bodi kabisa ya kuratibu hizo mambo
naomba jina la apo hio hapo juu inayotoa prediction za windrawwin na over/under