Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeponea chupu chupu kwa Egypt kumbe kuna mzimu mwingine ulikuwa unanisubiri, hii kazi ni ngumu sn. Frosinone amenitakia usiku mwema, ngoja nilale tu sasa hakuna namna.
pole sana mkuu, niliwapa over 1.5 ao vijana
 
Nimeponea chupu chupu kwa Egypt kumbe kuna mzimu mwingine ulikuwa unanisubiri, hii kazi ni ngumu sn. Frosinone amenitakia usiku mwema, ngoja nilale tu sasa hakuna namna.
amka kijana, wamekomboa moja
 
Hii kazi hakuna tofauti na wana appolo wanaochimba madini kwenye migodi ya Tanzanite. Wale jamaa wanaweza wakakaa miaka hata 20 wanachimba tu ila wana imani ipo siku watapiga pesa ndefuu.

Kabisa mkuu.! Tunajipa matumaini ipo siku tutapata TANZANITE
 
hapo kuna mikeka miwili huo ni alio mkosakosa muhindi na upo mwingine kwa juu. mimi nimejiwekea tu kama hivj ka buku katafute elfu hamsini😀😀😀😀View attachment 604552
bila uchambuzi wowote wala kuumiza kichwa!! hivi lini yatakuwepo mengi kama hivi ili mtu atulize kichwa na kutafuta odds 5 tu kisha aweke mkopo wa benki?
avogadro
 


Wadau hii imekaaje? Sijaelewa walitumi kigezo gani kurudisha pesa.? Mwenye ufahamu anitoe tongotongo.
 
View attachment 605247View attachment 605248

Wadau hii imekaaje? Sijaelewa walitumi kigezo gani kurudisha pesa.? Mwenye ufahamu anitoe tongotongo.
Hii kampuni ukikosa team moja huwa wanakurudishia stake yako ila kwa kuidouble mfano kma ulivyoweka 4500 wakazidisha mara mbili ndo maan imekuja elf 9000 ila hili hufanyika kuanzia mkeka wenye odd au point kma sijakosea kuanzia 20 au 25 kuendele kati ya hizo mbili hapo maan nimesahau kidgo
 

Duuh! Ahsante mkuu, wako njema sana kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…