Kweli kabisa,hii shughuli ngumu sana..Hii kazi hakuna tofauti na wana appolo wanaochimba madini kwenye migodi ya Tanzanite. Wale jamaa wanaweza wakakaa miaka hata 20 wanachimba tu ila wana imani ipo siku watapiga pesa ndefuu.
meridian hapana jomba fanya tafiti vzur kwa sasa odds tamu unazipataHata odds za Meridian siyo mbaya pia
Sijakuelewa ndugu, ukikosa timu moja wanarudisha pesa ?Hii kampuni ukikosa team moja huwa wanakurudishia stake yako ila kwa kuidouble mfano kma ulivyoweka 4500 wakazidisha mara mbili ndo maan imekuja elf 9000 ila hili hufanyika kuanzia mkeka wenye odd au point kma sijakosea kuanzia 20 au 25 kuendele kati ya hizo mbili hapo maan nimesahau kidgo
Yea wanaidouble stake uliyoweka, ie Kama uliweka 500 unarudishiwa 1000.Sijakuelewa ndugu, ukikosa timu moja wanarudisha pesa ?
Kampuni gani ? Na ipo kwenye sheria zao ? Au mpaka uwaombeYea wanaidouble stake uliyoweka, ie Kama uliweka 500 unarudishiwa 1000.
Ni Gsb.co.tz mkuu..na sio sheria ila ni moja ya kama bonus zao..ili kuwavutia tu wateja..Kampuni gani ? Na ipo kwenye sheria zao ? Au mpaka uwaombe
Basi wapo vizuri.Ni Gsb.co.tz mkuu..na sio sheria ila ni moja ya kama bonus zao..ili kuwavutia tu wateja..
zipo kampuni gani? mana premier sizioni kwenye basketGalil Gilboa - Maccabi
Ashdod
Home
1.45
Strasbourg IG - Le
Mans Sarthe Basket
Home
1.47
Multiple Odd 2.13
Zipo premierbet mkuuzipo kampuni gani? mana premier sizioni kwenye basket
nitakuwa nimechek vibaya, asanteZipo premierbet mkuu
Na mm nifate gsbView attachment 605247View attachment 605248
Wadau hii imekaaje? Sijaelewa walitumi kigezo gani kurudisha pesa.? Mwenye ufahamu anitoe tongotongo.
Mkuu nielekezeni namna ya kudepostSijakuelewa ndugu, ukikosa timu moja wanarudisha pesa ?