Fomular ni rahisi sana , chukua wanao ukawachezeshe kwa majina ya hizo timu halafu wewe utakuwa refa na matokeo mtayapanga wenyewe. Tofauti na hapa hakuna mtu yeyote mwenye uzezo wa kujua 100% majibu ya mechi kwa watu wanaocheza kiushindani ambapo kila moja anajiwinda asifungwe na apate ushindiJamani Anaye jua Formula Ya kujua nani atashinda katika Mechi yoyote Ile atupe utundu hap
BET WON kama ulinifata
Ngoja tuone asubuhi itakuwajeChief naiona hela hapa ... against all odds, all the best !!!
Tumsubirie khanji asubuhi tuone itakuwaje
Ulikosea nini hadi wakae na hiyo laki yako?ha
Hao GSB wana laki yangu leo siku ya 21 hivyo siwapendi
wanadai system ya kuweka inasumbuaUlikosea nini hadi wakae na hiyo laki yako?
Pole sana mkuu.
Home & 2+SINGLE MATCH
Kuopio PS - Rovaniemi Palloseura
Over 2.5 goals
Odds: 1.66
008wakuu ivi id namba ya galsport unaipata wap?
Sema suuuu ... nibonyeze batan (button). Wakuu, baraka zenu na ushauri hapa ... maana wengine weekend huwa ni kupigwa tu, alhamis na ijumaa kidogo tunaweza 'kuokotamo'
View attachment 607550