21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Tupia mzigo huo babaSema suuuu ... nibonyeze batan (button). Wakuu, baraka zenu na ushauri hapa ... maana wengine weekend huwa ni kupigwa tu, alhamis na ijumaa kidogo tunaweza 'kuokotamo'
View attachment 607550
Kwa ushauri tuui kwangu teqm za brazil nishablacklist ukmtoa corithians tuuu so kwa huo mtonyo vctoria mtoe tuuSema suuuu ... nibonyeze batan (button). Wakuu, baraka zenu na ushauri hapa ... maana wengine weekend huwa ni kupigwa tu, alhamis na ijumaa kidogo tunaweza 'kuokotamo'
View attachment 607550
Segunda
OSASUNA (WIN)
RAYO VALLECANO (WIN)
ODD: 2.6
Kwa ushauri tuui kwangu teqm za brazil nishablacklist ukmtoa corithians tuuu so kwa huo mtonyo vctoria mtoe tuu
Leo umeamua mkuu kujilipua mkuuKama mbwai na iwe mbwai ... God bless huu utabiri wangu na wote watakao ufuata. Watch me roar on this one !
View attachment 607574
Leo umeamua mkuu kujilipua mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haha haa haa aiseeeeHahahaha, we jamaa bana ... eti "mzama chumvini" ... hahahahah
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haha haa haa aiseeee
Humu unajikuta unacheka mwenyewe
Kuna mwingine anajiita uzaz wa mpango
Mkuu nikipigwa hapa, nimebakiwa na 50K ya mwisho kwa mwezi huu ... nikipigwa itabidi niwe "mpenzi mtazamaji" for the rest of the month.
Aiseee me nmekuja bet shop
Kwenye virtual nmepgwa mpaka
Miguu imekosa mguvu za kutoka
Cjui nan kaniamsha leo
iko vizuri, kampuni gani hii mkuuNatafuta mtaji wa mechi za kesho!...sina hakika kama hapa nipo salama!.....yule jini chana mikeka sijuhi amenitembelea hapa!????
View attachment 607589
View attachment 607589
Hatar aiseeee wamejaa kamaDuuuh, fursa ... naona wadau wako serious kumsaka Kanjibah Patel Kumar
daah hii kazi inataka moyo vinginevyo jiandae ......................................
Aiseee me nmekuja bet shop
Kwenye virtual nmepgwa mpaka
Miguu imekosa mguvu za kutoka
Cjui nan kaniamsha leo
Aiseee acha tu mkuu tangdaah hii kazi inataka moyo vinginevyo jiandae ......................................