Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ndio maana nimesema kuwa dunia ni kijiji!......hii kampuni ipo urusi...wao wanafanya biashara zaidi online.....Yes unaweza ku-depost kwa tigo au mpesa au airtel...but mimi sijawahi jaribu kwa mfumo huo mimi huwa natumia neteller toka kujiunga 2015...lakini kwa simu siwahi kujiunga.....kama unajiunga kwa ku-depost kwa simu kuweni makini isije pesa ku-delay maana sina hakika kama pesa inaingia haraka ukiwithdrawal au kudepost!
 
Mkuu kama haipo bongo mbona kuna option ya kudeposit kwa kutumia mpesa,na tigopesa?
ndio maana nimesema kuwa dunia ni kijiji!......hii kampuni ipo urusi...wao wanafanya biashara zaidi online.....Yes! unaweza ku-depost kwa tigo au mpesa au airtel...but mimi sijawahi jaribu kwa mfumo huo kwani mfumo wa simu za mkononi wameanza muda si mrefu........ mimi huwa natumia neteller toka kujiunga 2015...lakini kwa simu siwahi kujiunga.....kama unajiunga kwa ku-depost kwa simu kuweni makini isije pesa ku-delay maana sina hakika kama pesa inaingia haraka ukiwithdrawal au kudepost!
 
nimekusoma mkuu ...
 
Wazee kuna option nimeiona biko na pia nimeiona 1xbet ya over 1, ya 2 na 3,hizi zinamaanisha nini?
 
Aiseee huko 1xbet kuna option
Ipo huko sema wanazngua kujiunga
kujiunga mbona simple tu,sema ndo hivo makampuni hata hapa bongo bado ni mengi tu na yanatoa service fasta,kwahiyo amna haja sana ya kujiunga na haya ya mbali...
 
kujiunga mbona simple tu,sema ndo hivo makampuni hata hapa bongo bado ni mengi tu na yanatoa service fasta,kwahiyo amna haja sana ya kujiunga na haya ya mbali...
Me natumia code ya 254 Kenya
Sasa wanazngua Kwa upande wa 254
 
NGOJA NIMJARIBU KWA ODDS 13 HIZI HAPA.
CA Osasuna -
Albacete Balompie
CA Osasuna
1.57

Peykan - Gostaresh
Foolad FC
Paykan FC and Under
3.5 goals
1.99

Kuopio PS -
Rovaniemi Palloseura
Over 2.5 goals
1.66

Ponte Preta SP -
SantosSP
Santos SP
2.61
 
Hapa napo!....yule swetan wa kuaribu mikeka ya watu...sijuhi ananipitia hapa???....mmmmh!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…