Sijajua swali lako kuwa umejiunga tayari ndio unataka hizo reference namba? au unauulizia kujua je unadeposit vipi....Sikia kama umesoma vizuri hapo juu nimeandika kuwa hiyo huduma kwa njaia ya simu zetu za mkononi kwa Tanzania zimeanza muda si mrefu......kwa kawaida huku ni matumizi ya Viza card au kama unatumia wallet account ndizo zinazotumika .....haya mambo ya tigo pesa ndio mimi naona sasahivi wameanzisha huduma hiyo......kwa uzoefu wangu najua kama unatumia huduma za simu ya mkononi kwa nchi yetu ni bado sana.....ndio maana nilitoa mwongozo kuwa sina uzoefu na ku-deposit kwa simu za mkononi.......ninavyofahamu hawapo stable sana kwa huduma hizo....na bahati nzuri kuna jamaa ametoa ushuhuda hapo juu kuwa alijaribu siku moja ku-depost kwa simu yake ya mkononi hajapata pesa mapaka leo.......Sikia hii kampuni ni online tu kama zingine tunazoziona kwenye matangazo....kwahiyo kule kude-post kwake ni lazima uwe na viza kadi ya bank yenye huduma hiyo...Lakini kumbuka hizi ni kampuni za kimataifa na mambo yao ni very complecated kidogo!.... unapojiunga huku ni lazima ujitosheleze kwa kujaza fomu zao na wajiridhishe bila hivyo utakuwa unapoteza muda tu na kupoteza pesa zako!...Kwahiyo nashauri si sehemu rafiki sana kwa kubet kwa wale ambao hawana uzoefu wa mambo ya online na international transaction....pyote kwa yote ni ku-withdrawal huko ndiko kwenye shida hasa.......usipojaza fomu zao na wao kujiridhisha na ku-prove vile wanavyotaka basi ...itakuwa vigumu kwa wewe kupata pesa......ila kujiunga hakuna noma ni haraka tu.....na unaweza ku-bet ...ila sasa unapotaka ku-withdrawal ndio shida inapoanza hapo!.....Nimetoa angalizo hili kwa sababu najua watu wengi si wazoefu na hizi kampuni za international.......na nimeona humu malalamiko mengi sana kwenye hizi kampuni mpya kama GSB na princess bet wakilalamika kuwa ni jinsi gani unadeposti na ku-withdrawal.....sasa iwapo haya ya kitanzania wengine wanachemka je hayo ya kimataifa itakuwaje!...sio kama nawatisha ila nawaeleza ili baadaye usije sema jamaa wamekuibia!....Mimi nashauri kwa wale ambao sio wazoefu basi wa-stiki tu hapo bongo na kampuni zetu tu hizi ambazo mimi naona zipo poa tu......unaweza ukajiuliza je kwanini mimi nimejiunga huko!......mimi nimejiunga huko kabala ya kurudi hapa bongo!.......maana nilikuwa naishi nje ya tanzania kwahiyo nilijiandikisha muda mrefu before ya kuwepo hapa.....personal...mimi nimejiunga na na bet za hapa Tanzania...naipenda sana GSB na princess wapo poa sana!.....I think nimeeleweka hapo!namba ya kampuni na reference namba ni ipi?
ok thnks nimejiunga nao wanaoption kubao ila kwa njia ya vodacom kama inavyo onekana ktk kampuni yao ndio changamoto wanamfumo fulan wa kufanan na wa gal sport kama sikosei unatumia sms kama ifuatayoSijajua swali lako kuwa umejiunga tayari ndio unataka hizo reference namba? au unauulizia kujua je unadeposit vipi....Sikia kama umesoma vizuri hapo juu nimeandika kuwa hiyo huduma kwa njaia ya simu zetu za mkononi kwa Tanzania zimeanza muda si mrefu......kwa kawaida huku ni matumizi ya Viza card au kama unatumia wallet account ndizo zinazotumika .....haya mambo ya tigo pesa ndio mimi naona sasahivi wameanzisha huduma hiyo......kwa uzoefu wangu najua kama unatumia huduma za simu ya mkononi kwa nchi yetu ni bado sana.....ndio maana nilitoa mwongozo kuwa sina uzoefu na ku-deposit kwa simu za mkononi.......ninavyofahamu hawapo stable sana kwa huduma hizo....na bahati nzuri kuna jamaa ametoa ushuhuda hapo juu kuwa alijaribu siku moja ku-depost kwa simu yake ya mkononi hajapata pesa mapaka leo.......Sikia hii kampuni ni online tu kama zingine tunazoziona kwenye matangazo....kwahiyo kule kude-post kwake ni lazima uwe na viza kadi ya bank yenye huduma hiyo...Lakini kumbuka hizi ni kampuni za kimataifa na mambo yao ni very complecated kidogo!.... unapojiunga huku ni lazima ujitosheleze kwa kujaza fomu zao na wajiridhishe bila hivyo utakuwa unapoteza muda tu na kupoteza pesa zako!...Kwahiyo nashauri si sehemu rafiki sana kwa kubet kwa wale ambao hawana uzoefu wa mambo ya online na international transaction....pyote kwa yote ni ku-withdrawal huko ndiko kwenye shida hasa.......usipojaza fomu zao na wao kujiridhisha na ku-prove vile wanavyotaka basi ...itakuwa vigumu kwa wewe kupata pesa......ila kujiunga hakuna noma ni haraka tu.....na unaweza ku-bet ...ila sasa unapotaka ku-withdrawal ndio shida inapoanza hapo!.....Nimetoa angalizo hili kwa sababu najua watu wengi si wazoefu na hizi kampuni za international.......na nimeona humu malalamiko mengi sana kwenye hizi kampuni mpya kama GSB na princess bet wakilalamika kuwa ni jinsi gani unadeposti na ku-withdrawal.....sasa iwapo haya ya kitanzania wengine wanachemka je hayo ya kimataifa itakuwaje!...sio kama nawatisha ila nawaeleza ili baadaye usije sema jamaa wamekuibia!....Mimi nashauri kwa wale ambao sio wazoefu basi wa-stiki tu hapo bongo na kampuni zetu tu hizi ambazo mimi naona zipo poa tu......unaweza ukajiuliza je kwanini mimi nimejiunga huko!......mimi nimejiunga huko kabala ya kurudi hapa bongo!.......maana nilikuwa naishi nje ya tanzania kwahiyo nilijiandikisha muda mrefu before ya kuwepo hapa.....personal...mimi nimejiunga na na bet za hapa Tanzania...naipenda sana GSB na princess wapo poa sana!.....I think nimeeleweka hapo!
Hapana mkuu mm n mtzMkuu hivi wewe ni raia wa Kenya?
Natanguliza samahani
Visa Card (ABC) ni ya dollar au tsh?[/QN Natumia TSH ndio easier ku-convet kwa currency yoyote duniani
inategemea rate kwa muda husika
Nashkur mkuu nimeshacopyView attachment 608068 hapo vip
Bet wonSpain: Segunda Division
19:00 Real Valladolid v Alcorcon AD
Real Valladolid Over 1.5 Goals
0dd 1.86
BET WONAl Tadamon - Al Jahra
yes and Over 2.5 goals
Odds: 2.02
safe zaidi: weka Over 1.5 @ 1.24
BET WONSegunda
OSASUNA (WIN)
RAYO VALLECANO (WIN)
ODD: 2.6
Kaka toa hiyo pocha ya mwanachama mwenzetuuuuu bhanWazeee wanaenda sawaView attachment 608195