Kuna za kulipia na za bure mkuu, kama umeangalia vizuri leo kulikuwa na ya bure ya Lyon vs Metz; Lyon win (-1.5) handicap.
Mimi naanza kucheza za bure kwanza, nitahamia kwenye za kulipia kama nitaona mafanikio kwenye za bure. Preliminary assessment inanipa faida ya laki 3 hadi 5 kwa mwezi kwa mtaji wa 50,000 daily.
Alafu wanao predict mech n wengi sana 90% waongo
poa bro ngoja nami ntazitest nione zari
Hapo raimundi umeongea ila tatizo watu wanahasira na kiliwa ndio mana wanavuka kipimo wanatamani mamilioni ya haraka haraka
Raimundi hyo site inaitwaje ya huyo darko
Mi nimejifunza kuweka timu chache then natupia buku 5 hizi za kuweka timu nyingi ni kumpa ulaji mdosi.Ukifanya hivyo unaendelea kumtajirisha Mhindi, kuna tips alishaziweka humu Mtoto wa nzi za jinsi ya kufanya responsible gambling, ukizisoma zinasaidia sana.
Tubadilike, huu ni mwaka wa mabadiliko kama kweli tunataka kupambana na Mhindi.
Kuna msemo wa kwamba huwezi kushinda kwa kutumia mbinu zile zile zilizoshindwa kukupa ushindi nyuma, lazima ufanye mabadiliko.
Mm nilikuwa natumia mfumo mbovu sana kuweka timu zaidi ya 10 nikitarajia ushindi kumbe ndio naungua hvyo
Samahani nina maswali mengi ndio najifunza mnivulimie please.
So nikitaka kubet kwa mpesa natakiwa niandike nn na nitume kwenda namba gani
Nenda www.m-bet.co.tz alafu utafanya usajili hapo. Ukimaliza tu utaona maelezo pale jinsi ya kubet.
Ukishachagua timu watakupa namba ya kumbukumbu ya malipo ambayo utaitumia kule mpesa wakati unalipia. Namba yao ya biashara ni 219966.
View attachment 221578kama utani nimekula laki
mkuu nimeshtukia live in play ndo mpango mzima...kuweka mkeka ni ndoto kushinda...mi sasahivi nasubiri game imeanza nacheki flow ya game ndo naingia mzigoni....Ur the man! Huy mhindi mpaka jirani kauza mihogo yake ikiwa shambani kisa mhindi.
mkuu nimeshtukia live in play ndo mpango mzima...kuweka mkeka ni ndoto kushinda...mi sasahivi nasubiri game imeanza nacheki flow ya game ndo naingia mzigoni....