Hapana mkuu sijapigwa BAN. Nimemtumia invisible anibadilishie.
Kuna mtu anapita sana hapa na anatafuta sana ID yangu so nikaamua nibadili.
Labda pia yaweza kuwa bahati nzuri maana leo nimewapa hawa
Ivory coast
Mali
Gateshead
Porto
Rio ave
ulipotea sana ulikua chimbo?
msaada wadau upande wa M-BET. enter reference number, hapo inatakiwa niingize namba ipi?
NkyaH wanao GSW wamekalishwa leo kwao!
Barcelona shinda
Tottenham shinda
TNS shinda
Bala town shinda
Fc Porto shinda
Kuna mwenye utata hapo nimtoe ....tarehe 30 kodi ya nyumba zinahitajika
Na nikimpa X2&0-3 unapaonaje hapo
BESKITAS
SEVILA
VILAREAL
URUGUAY U20
BRAZIL U20
ARGENTINA U20
za leo izo toa ambayo uiamini afu uweke ela yako ya chakula cha mchana na usiku