Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

After all what seemed impossible yesterday was possible today... So nothing will be impossible tomorrow. - Fidel Castro

Ahsanteni sana, nawashukuru sana wale wote ambao walinielewa na kujumuika pamoja nami, TUMEFANIKISHA kwa uwezo wa MUNGU.
View attachment 620762
WTF???????????????????????

Una maana gani kuzi ziba izo prediction??
kwamba tuwe tuna changia ili kuzipata ama?
Ndo maana namheshimu sana pididy hanga iz mambo...

Serious U have to grow Up and be a Man!!
 
hiyo app inauzwa playstore nimejaribu kui crack nimesanda, sasa jamaa kabadilisha kaifanya business opportunity anataka arudishe 460k yake

btw hamna perfect event kwenye betting hata hiyo app inapiga nje sometimes
 
Okay good luck kwake kama ndio mpango ulikua kununua App and then kuja kutuuzia tips humu sizan kama ni mahala pake ingefaa Ufunguliwe Uzi Rasmi kwa ajil ya jambo kama ili
 
Jaman mbn kujoin premier bet imenigomea
75177792569d3223781c2b46d3f7b15a.jpg
 
Bado sijahakiki kikosi, ila kama starters wa GSWs wote wapo basi ujue LAC anapigwa gape la kufa mtu.

GSW ni wapinzani wa LAC na wako division moja, kwa hiyo mechi huwa wanaikamia kama fainali vile.

Nakuhakikishia kwamba LAC anakalishwa kama GSW watakuwa full kikosi.

Kuna kipindi Doc Rivers aliwananga GSW kwamba wamechukua ubingwa kirahisi kwa sababu hawakukutana nao, basi toka siku hiyo jamaa wanakamia sana.

Kocho..buddy..bil i game ya NBAA GSW...anamchakaza mpinzani vibaya sana asee mpk huruma..maana amemkamia balaa

Denis ukipitia post yangu ya jana hiki kitu nilikitegemea, huwa ni straightforward game kwa GSW.
 
Taratibu viatu vya league ya spain (la liga) naanza kushindwa kuvivaa, teams zimekuwa too dynamic but kabla cjaipa talaka hebu nisaidieni details za kuimudu hii league.

CC. buddy, koncho, billy waters, denis fourplux, million dollars, z.z Rumisha, nyegere.
 
Mkuu mimi hiyo ligi kuna timu zangu kadhaa ndo huwa nazibetia ...
Napomuona ...

i. Atletico Madrid - hapa under inahusika (nadra sn hawa jamaa kutoa over 2.5)
ii. Real Sociadad - hapa Over 1.5 au 2.5 inahusika sn
iii. Las Palmas - hapa huyu jamaa lazima aconcede goal, defence yake ina leak magoli sn. Over 1.5 ni kufikia tu, hata over 2.5
iv. Celta Vigo - over 1.5 ni mara chache sn kukuta hawatoi.
v. Barcelona/R. Madrid - hawa mara nyingi odds wanazopewa zinanikatishaga tamaa, so ni mara moja moja sn nawabetia.
 
NOTED. shukrani sana mkuu.
 
Back
Top Bottom