Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mimi hiyo ligi kuna timu zangu kadhaa ndo huwa nazibetia ...
Napomuona ...

i. Atletico Madrid - hapa under inahusika (nadra sn hawa jamaa kutoa over 2.5)
ii. Real Sociadad - hapa Over 1.5 au 2.5 inahusika sn
iii. Las Palmas - hapa huyu jamaa lazima aconcede goal, defence yake ina leak magoli sn. Over 1.5 ni kufikia tu, hata over 2.5
iv. Celta Vigo - over 1.5 ni mara chache sn kukuta hawatoi.
v. Barcelona/R. Madrid - hawa mara nyingi odds wanazopewa zinanikatishaga tamaa, so ni mara moja moja sn nawabetia.
Valencia pia 1.5/2.5 inategemea na opponent .
 
Taratibu viatu vya league ya spain (la liga) naanza kushindwa kuvivaa, teams zimekuwa too dynamic but kabla cjaipa talaka hebu nisaidieni details za kuimudu hii league.

CC. buddy, koncho, billy waters, denis fourplux, million dollars, z.z Rumisha, nyegere.

Mimi league hii naipenda hasa kwenye kutoa 28+! Pia GG au NG wanatoa sana ila unatakiwa kufanya analysis vizuri kupitia kuangalia Head-2-Head, Injury updates, Recent forms, Attacking and Defending Power.

Mfano: Mechi za jana za Espanyol plus Las Palmas zimetoa 28+. Mechi za juzi kulikuwa na GG za kutosha.

Analysis ya kutosha ndiyo itakupa pesa!

Master your football leagues and use the betting tips you good at. Siyo kila tip ni nzuri.

Mimi siku hizi sichezi nje ya *28+, GG na NG*. Maswala ya win/loose/over naona siko vizuri kwenye kufanya analysis mkuu!

Kila lakheri...!
 
mch thnks mkuu.
 
View attachment 621093

Tujaribu utajiri wa usiku...!

IMG_7129.jpg

BET LOST! Leo nayo siku...
 
Nikionaga Game ya GSW vs LAC, huwa najua tu itakuwa one sided game, ni gape hasa.

Last 14 meetings, LAC kashinda game moja tu, tena ilikuwa ni preseason. Angalia tofauti ya points hapo.
View attachment 621165

Same kwa huyu Houston Rockets ... sijui leo kimempata nini, au alijua nimempa ushindi nini? maana wengine tuna gundu si la nchi hii ...

upload_2017-10-31_8-40-56.png
 
Noma sn mkuu ... mimi Houston ameniacha hoi kbs, kupigwa na 76ers?? duuuh ... alianza vzr msimu, naona ameanza kuzingua.
Wewe acha tu mkuu mimi moyo uliwakata Boston na Houston ukamuangukia Denver lakini duh
 
Same kwa huyu Houston Rockets ... sijui leo kimempata nini, au alijua nimempa ushindi nini? maana wengine tuna gundu si la nchi hii ...

View attachment 621170

Houston wamemchukua Chris Paul halafu ameumia, kwa hiyo mzigo mkubwa anao James Harden na Eric Gordon ambao siyo proven winners, muda wowote wana-flop.

Angalia trend yao wanapocheza na timu ambazo ziko diffensive minded wanahangaika sana. Hata ile game ya kwanza vs Phills msimu huu walishinda kwa last buzzer beater.
 
Back
Top Bottom