Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna quotation niliisoma kwenye kitabu cha Robert Kiayosaki and "Donald Trump cha Why we want you to be rich", inasema,

"Sometimes it's best to walk away and live to fight another day"

Ukiona uko kwenye losing trend unakula pozi kwanza.

Very true ... a'll give another shot today, ikigoma basi I will "... walk away and live to fight another day"
 
Mkuu Buddy pole sana kale kamkeka dah...roho hadi imeuma aisee

Bwana wee ... yani Bochum/F. Dusseldolf wakushindwa kutoa 2+ kwl, bora ningebaki na X2 (hahaha, majuto mjukuu). Lkn I won't dwell on the past, I chose to move forward.
Leo km una possibles share mkuu tuone tuna fair vp. Mimi so far nimeziona hizi ...

Bloemfontein Celtic FC - Maritzburg United FC
Under 2.5 goals
1.41
X

Express FC - Bright Stars
Under 2.5 goals
1.42
X

Al Baten - Al Nasr Riyadh
Over 1.5 goals
1.22
X

Odds: 2.44

Huyo wa katikati ni Uganda, wa kwanza ni South Africa na wa mwisho ni Saudi Arabia.
 
wadau ni aje poleni na harakati za kumsaka kanji..

sasa leo nilikuwa nataka ku withdraw pesa kutoka premier kupitia simu bahati mbaya ile hela nikajikuta nimeitoa kwa njia ya vocha sasa sijaelewa kuwa watanitumia code then nikatoe kwenye ofisi zao au?
Usijali,ukitumiwa code nenda kwenye vile vituo vyao unawaambia nimekuja kuwithdrwa kwa voucher unawapa code unapewa chako fasta
 
Mkuu mimi hiyo ligi kuna timu zangu kadhaa ndo huwa nazibetia ...
Napomuona ...

i. Atletico Madrid - hapa under inahusika (nadra sn hawa jamaa kutoa over 2.5)
ii. Real Sociadad - hapa Over 1.5 au 2.5 inahusika sn
iii. Las Palmas - hapa huyu jamaa lazima aconcede goal, defence yake ina leak magoli sn. Over 1.5 ni kufikia tu, hata over 2.5
iv. Celta Vigo - over 1.5 ni mara chache sn kukuta hawatoi.
v. Barcelona/R. Madrid - hawa mara nyingi odds wanazopewa zinanikatishaga tamaa, so ni mara moja moja sn nawabetia.
Umemsahau Valencia apo To score hawajamaa lazima watupie ata kama wakifungwa hawajawai niangusha
 
pole sana mkuu naona mkosi wa team moja moja unatuzonga..

mimi aisee nimenza kubadilisha mbinu nirudishe pesa yangu kwanza
Mbinu hipi hyo uitumiayo kurudisha pesa MAANA nilichofanywa toka j3 iliyopita mpaka jana fenerbahce na yule akmat v zenit sina hamu.Labda nijalibu hyo ya kurudisha hasara unless mmmmhhhhh
 
Self control ni muhimu sana kwenye hii biashara.
Mbinu hipi hyo uitumiayo kurudisha pesa MAANA nilichofanywa toka j3 iliyopita mpaka jana fenerbahce na yule akmat v zenit sina hamu.Labda nijalibu hyo ya kurudisha hasara unless mmmmhhhhh
Screenshot (212)_LI.jpg

nimeshampiga kama kilo mpaka sasa

japokuwa ni risk pia ila mpaka sasa machungu yamepotea kimtindo..

inabidi uwe na roho ngumu kidogo na subira pia inahitajika
 
1830 UEFA Champions League
Atl. Madrid - Qarabag FK
Over(2.5) 1.65

1831 UEFA Champions League
Roma - Chelsea
Over(1.5) 1.18

1042 UEFA Champions League
FC Basel - CSKA Moscow
Over(1.5) 1.30

1043 UEFA Champions League
Manchester Utd - Benfica Lisbon
1 1.40

1062 UEFA Champions League
Celtic - Bayern Munich
X2 & Ov(1.5) 1.23

1064 UEFA Champions League
Sporting CP - Juventus
Over(1.5) 1.30

1065 UEFA Champions League
Olympiacos - Barcelona
2 1.23

1901 UEFA Youth League
Sporting U19 - Juventus U20
Over(1.5) 1.12

3273 Regionalliga East
SV Horn - Wiener Sportklub
Over(1.5) 1.12

6633 Regionalliga Bavaria
VfR Garching - FC Pipinsried
1X 1.25

Multiple
RESET 100 ₦ 500 ₦ 1000 ₦ 2500 ₦
Odd10.93
Amount ₦
Bonus4,917.56 ₦
Potential winning37,701.28 ₦
Bet system
 
1061
UEFA Champions League
PSG - RSC Anderlecht
1+&1+ Y
1.18

1043
UEFA Champions League
Manchester Utd - Benfica Lisbon
1X & Under(4.5)
1.24

1830
UEFA Champions League
Atl. Madrid - Qarabag FK
1
1.10

1062
UEFA Champions League
Celtic - Bayern Munich
2
1.36

1831
UEFA Champions League
Roma - Chelsea
1X
1.44

7898
Championship
Fulham - Bristol City
Over(1.5)
1.17

7902
Championship
QPR - Sheffield Utd
Over(1.5)
1.28

5+
Goodluck[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wadau, huku si ni kujaribiana huku? yale yale ya Houston/76ers ... yani anayeonekana kibonde ndio anapewa odds kidogo. Huyu Mobis Phoebus anaonekana ni mbabe wa Dongbu Promy lkn amepewa odds 2.5 !!! kufanya uchambuzi af ukakutana na kitu km hiki ni kaaazi kwl kwl.

upload_2017-10-31_10-34-48.png
 
View attachment 621215

nimeshampiga kama kilo mpaka sasa

japokuwa ni risk pia ila mpaka sasa machungu yamepotea kimtindo..

inabidi uwe na roho ngumu kidogo na subira pia inahitajika
Dah kiongozi...odd 1.04 asee unahatari sana #
Kidogo may be nkushauri kwa nini usiwe unaplace game moja ata ya live yenye odd 1.3-2
Maana kubet kwa izo odd apo afu timu 4 ni risk sana sio safe na ukipigwa unarudishwa mara 4 nyuma
 
Nina dogo mmoja ninae alizoea iyo mambo ya kufata odd ndogo live game unakuta game dk ya 82 ina odd ata 1.25 anatia pesa anaweza akatengeneza iyo laki kwa mechi 4 afu akipigwa moja anaanza upya...aimake sens kbx...
 
Bwana wee ... yani Bochum/F. Dusseldolf wakushindwa kutoa 2+ kwl, bora ningebaki na X2 (hahaha, majuto mjukuu). Lkn I won't dwell on the past, I chose to move forward.
Leo km una possibles share mkuu tuone tuna fair vp. Mimi so far nimeziona hizi ...

Bloemfontein Celtic FC - Maritzburg United FC
Under 2.5 goals
1.41
X

Express FC - Bright Stars
Under 2.5 goals
1.42
X

Al Baten - Al Nasr Riyadh
Over 1.5 goals
1.22
X

Odds: 2.44

Huyo wa katikati ni Uganda, wa kwanza ni South Africa na wa mwisho ni Saudi Arabia.
Tuko pamoja nta share hapa soon
 
Mkuu hao wa south ukiwapa Under 3.5 vipi
 
Back
Top Bottom