Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,322
Wewe acha tu mkuu mimi moyo uliwakata Boston na Houston ukamuangukia Denver lakini duh
Unakumbuka nilikwambia kuhusu Knicks, baada ya kumshinda Cavs lazima watakuwa walipata confidence, kuna dogo anaitwa Porzingis, huyu ndo wamemkabidhi timu na kila kukicha ana-improve.
Bila kusahau walikuwa kwao.