Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
nipe mawasiliano yao mkuu nifanye hivyoKuna siku nami nilikosea nikawapa taarifa wasiitume irudishwe kwenye akaunti nifanye muamala upya.
nipe mawasiliano yao mkuu nifanye hivyoKuna siku nami nilikosea nikawapa taarifa wasiitume irudishwe kwenye akaunti nifanye muamala upya.
Mkuu hao wa south ukiwapa Under 3.5 vipi
Kategwa mtu hapoWadau, huku si ni kujaribiana huku? yale yale ya Houston/76ers ... yani anayeonekana kibonde ndio anapewa odds kidogo. Huyu Mobis Phoebus anaonekana ni mbabe wa Dongbu Promy lkn amepewa odds 2.5 !!! kufanya uchambuzi af ukakutana na kitu km hiki ni kaaazi kwl kwl.
View attachment 621217
yaani huwa kama wanajua tunawaamini halafu wanatuharibia makusudiUnder 3.5 odds ni 1.13
View attachment 621218
Nimejaribu pia kupitia H2H zao, hawana magoli kbs ... labda waamue kufunguka leo baada ya mm kuwaaminia (hahaha)
View attachment 621220
Bwana wee ... yani Bochum/F. Dusseldolf wakushindwa kutoa 2+ kwl, bora ningebaki na X2 (hahaha, majuto mjukuu). Lkn I won't dwell on the past, I chose to move forward.
Leo km una possibles share mkuu tuone tuna fair vp. Mimi so far nimeziona hizi ...
Bloemfontein Celtic FC - Maritzburg United FC
Under 2.5 goals
1.41
X
Express FC - Bright Stars
Under 2.5 goals
1.42
X
Al Baten - Al Nasr Riyadh
Over 1.5 goals
1.22
X
Odds: 2.44
Huyo wa katikati ni Uganda, wa kwanza ni South Africa na wa mwisho ni Saudi Arabia.
Punguza idadi ya mechi weka tatu tu mkuuI hope hii hali ya kuandamwa na mchawi mmoja itaisha leo ... else itabidi nichukue break ya wiki 1 hadi 2, maana nimekuwa namchangia huyu jamaa kwa kiwango cha kutisha sn. Luck is not on my side recently.
View attachment 621182
Me waliirudisha kwenye account baada ya siku moja, click ile logo ya whatsapp pale chini kwenye website yao uchati na mtu wa customer carenipe mawasiliano yao mkuu nifanye hivyo
Punguza idadi ya mechi weka tatu tu mkuu
Sawa mkuuNi sawa na kusema ni sifuri au batili
Good idea but take care mkuuNamkabidhi rasmi Golden state warriors pesa yangu, hope nitavuna kama nilivyovuna kipindi cha play off last season.
Asante mkuu ngoja nijaribu hii single, sitaki tamaa.Good idea but take care mkuu
Mkuu usikalili angalia msimamo wa ligi na perfomance ya team kwa wakati huo na wa sasa then fanya maamuzi..Wadau, huku si ni kujaribiana huku? yale yale ya Houston/76ers ... yani anayeonekana kibonde ndio anapewa odds kidogo. Huyu Mobis Phoebus anaonekana ni mbabe wa Dongbu Promy lkn amepewa odds 2.5 !!! kufanya uchambuzi af ukakutana na kitu km hiki ni kaaazi kwl kwl.
View attachment 621217
Samahani mkuu naomba unifafanulie hizi calculation.
Huu mkeka win 80%1830 UEFA Champions League
Atl. Madrid - Qarabag FK
Over(2.5) 1.65
1831 UEFA Champions League
Roma - Chelsea
Over(1.5) 1.18
1042 UEFA Champions League
FC Basel - CSKA Moscow
Over(1.5) 1.30
1043 UEFA Champions League
Manchester Utd - Benfica Lisbon
1 1.40
1062 UEFA Champions League
Celtic - Bayern Munich
X2 & Ov(1.5) 1.23
1064 UEFA Champions League
Sporting CP - Juventus
Over(1.5) 1.30
1065 UEFA Champions League
Olympiacos - Barcelona
2 1.23
1901 UEFA Youth League
Sporting U19 - Juventus U20
Over(1.5) 1.12
3273 Regionalliga East
SV Horn - Wiener Sportklub
Over(1.5) 1.12
6633 Regionalliga Bavaria
VfR Garching - FC Pipinsried
1X 1.25
Multiple
RESET 100 ₦ 500 ₦ 1000 ₦ 2500 ₦
Odd10.93
Amount ₦
Bonus4,917.56 ₦
Potential winning37,701.28 ₦
Bet system