Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna hii pia 75-85% inaonekana.
 

Attachments

  • Screen Shot 2017-11-02 at 9.51.53 AM.png
    60.4 KB · Views: 48


It's high time Premierbet waimprove kwenye kutoa hela "Withdraws" km ilivyo kwenye kuweka "Deposits"... wabadili policy zao. Wamebaki wao tu ndo wacheleweshaji. Wengine wote wameimprove na hela inapatikana in less than 5mins.
Tena ile policy yao ya weekend payment ukituma wanaanza kushughulikia j3 hiyo ndio mbovu kupitiliza chief
 


Sioni ajabu kupoteza 1000 yangu kwa kufanya majaribio ya masafa marefu kwenye bahari ya India, majaribio haya ni kwa ajili ya kujilinda mimi na utawala wa kanji.

Ungana nami kwa majaribio haya........ Leo sioni mchawi hapo.

Mkeka uko poa sana mkuu, nilikuwa kimya for 45 minutes nauchambua. Nitatembea nao kama ulivyo, huu wa kwanza.

Mkeka wa pili kutoka kwenye huo wako nitarekebisha kidogo kwa kuweka.

1. Sarzburg Vs Konyaspor —-> Over 1.5 goals

2. Rosenborg Vs Zenit Petersburg —-> Over 1.5 goals

3. Vardar Vs Real Sociedad ——> Over 8.5 goals
 


Sioni ajabu kupoteza 1000 yangu kwa kufanya majaribio ya masafa marefu kwenye bahari ya India, majaribio haya ni kwa ajili ya kujilinda mimi na utawala wa kanji.

Ungana nami kwa majaribio haya........ Leo sioni mchawi hapo.
Huyo villareal ni ms...ngerema ...huwa nikimuona anacheza hata na kibonde simpi....option yoyote ile
 
ni typing error au....goli zote hiz
 
Pamoja sana mkuu, leo nimecheza mkeka wa timu 18 jana mkeka wa odds 6000 uliharibiwa na vitimu 3 ila mhindi asome alama za nyakati mapema.
 
Leo sitaki shida ya kufanya uchambuzi, EUROPA league zote 2+ nasubiri hela baada ya game ya mwisho.



Wafuatao nimewatoa, waliobaki wote nimewapa Over 1.5 kwa mechi za EUROPA league leo. Odds 46.217

- Partizan/Skenderbeu
- Ludogorets/Braga
- Lokomotive Moscow/Sheriff Tiraspol
- FC Koln/BATE
- Arsenal/FK Crvena zvezda
- Atlitico Bilbao/Ostersunds
 
Unatumia app au web(ukitumia ingia tumia chrome) pia hakikisha first capital letter kwenye email yako mkuu.
yote inashindikana mkuu. nikisugin up naambiwa email already joined! nikilogin naambiwa player not fount, nikibadili email naambiwa the phone number already used to another account
 
Wafuatao nimewatoa, waliobaki wote nimewapa Over 1.5 kwa mechi za EUROPA league leo. Odds 46.217

- Partizan/Skenderbeu
- Ludogorets/Braga
- Lokomotive Moscow/Sheriff Tiraspol
- FC Koln/BATE
- Arsenal/FK Crvena zvezda
- Atlitico Bilbao/Ostersunds
Mrudishe Arsenal ujue Wenger hapendi mnavyomnyanyapaa
 
yote inashindikana mkuu. nikisugin up naambiwa email already joined! nikilogin naambiwa player not fount, nikibadili email naambiwa the phone number already used to another account
Kama email already joined basi nenda kwenye login pale kuna sehemu ya reset password (forget password) ingia hapo watakwambia uingize hiyo email.


Baada ya hapo nenda kareset hizo password hakikisha unatumia chrome/Firefox /safari explore kuingia.

Ila kumbuka herufi ya kwanza kwenye email iwe herufi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…