Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya makampuni yanachosha sana, niliamia princess wakaamua kunitapeli. Bora nibaki uku uku premier tu.

Uzuri wao hawa premierbet systems zao ziko stable ... huwezi kukutana na "server error" au mkeka kufutika bila sababu na kulazimika kuanza kuuandaa upya. Na options zote wanazo. Kwa hilo nawakubali sn.
 
Ngoja nisubili niokote na kwako mkuu wise.
Rosenborg BK - Zenit St Petersburg
Yes
1.70

Vitesse Arnhem - SV Zulte Waregem
Over 1.5 goals
1.26

Hertha BSC - FC Zorya Lugansk
Hertha BSC Berlin
1.83

Basaksehir FK - 1899 Hoffenheim
Over 2.5 goals
1.60

Young Boys Bern - FC Dynamo Kiev
Over 1.5 goals
1.24

Lazio Roma - OGC Nice
Over 1.5 goals
1.19

FC Viktoria Plzen - AC Lugano
Over 1.5 goals
1.20

Total Odds 11.11
 
Uzuri wao hawa premierbet systems zao ziko stable ... huwezi kukutana na "server error" au mkeka kufutika bila sababu na kulazimika kuanza kuuandaa upya. Na options zote wanazo. Kwa hilo nawakubali sn.
Yah wako salama pia, ila Princessbet mara utakuta umelog in ila account ya mtu mwingine inaonekana sio yako. Kuna siku nimekuta wamebet bila mimi kubet nikaachana nao hadi sasa.
 
Mkuu wise shukrani sana nimeongeza na zangu chache hapo. Nikipigwa na leo napumzika kwa week 2 kujipanga.
 
Uzuri wao hawa premierbet systems zao ziko stable ... huwezi kukutana na "server error" au mkeka kufutika bila sababu na kulazimika kuanza kuuandaa upya. Na options zote wanazo. Kwa hilo nawakubali sn.

Ndio kitu ninachowakubali.
 
Lazio cap
Arsenal cap
Lyon normal win....weka 10k mkekabet upate 56k.
THANKS ME LATER



Daaah mkuu jina lako limenikumbusha Thomas Vermaelen beki wetu alikuwa poa sn sema injuries zikamcost career yake [emoji17]

Nlikuwa namkubali sn.
 
Odds 1.7
Athletic Bilbao v Ostersunds FK 1.5+

Vitoria Guimaraes v Olympique Marseille 1.5+

Real Sociedad v Vardar Skopje

1st Half - 0.5+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…