dah haya makampuni yanaogopa kupigwa.nimepitia sijaziona labda na wadau wengine wacheki
kwan mkuu siku ile gem ya simba na yanga ungewekaje? haijalishi ni timu za hoke kwetu zikizingua zimezingua tu.dah haya makampuni yanaogopa kupigwa.
dah haya makampuni yanaogopa kupigwa.
Mkuu Yanga ama Simba wakiwa dar 2+ ni rahisi sana kutokea halafu pia huwa ina odds kubwa 1.40 hadi 1.50kwan mkuu siku ile gem ya simba na yanga ungewekaje? haijalishi ni timu za hoke kwetu zikizingua zimezingua tu.
Hiyo ligi naiogopa sana kwa afrika huwa naelewa ligi tatu pekee Algeria, Morocco, Bongo mara nyingi huwa nazioteaHao wa Uganda ni Under 2.5 ama 3.5 ... lazima upige hela.
blektni 28+ katoka safe linasubiriwa goli tu naye atiki.
safari njemaView attachment 623945Nasaka mtaji wa NBA na ice hockey baadae.
Upo vizuri mkuuNgoja nione nilichomtuma Pardeborn kama atakitimiza.
impossible bro
Hapo kanji hachomoki hata aende kwa mganga...