wanazingua mimi nimeangalia livecore na princessbet wote wanaonesha ni 22.45Aaah! ila m bet wanaonesha 14:45
View attachment 624684
mnaonaje hapa wadau?????
hapo tot nimempa first 10 min draw na hiz under 6.5 corner ni kwa first half
jumla point 5
fayenoord anapocheza away anakuwa qumer....haaminiki hata kidogo.feyenoord leo anakuwa wakala wa kanji mapema kabisa
Inter Milan mambo safi....nilimpa under 2.5inter milan huyooooo
mimi mechi za saa nane huwa naziogopa sanaInter Milan mambo safi....nilimpa under 2.5
View attachment 624745
Wakuu, naomba odds 5 tu ninyanyukie naona Spurs tayari ameishanivuruga....hakuna ushindi hapa.Inter anazamisha jahazi dah
Mkuu usikate tamaa Mechi bado mbich sana[emoji1] [emoji1]Wakuu, naomba odds 5 tu ninyanyukie naona Spurs tayari ameishanivuruga....hakuna ushindi hapa.
Hahaha, tutapigwa mkuu ...
Ila km ni wa kuwaongeza, basi ningewaongeza hao, na mkeke ungekuwa hivi ...
Inter Milan - Turin FC
Inter Milano
1.61
X
Tottenham Hotspur - Crystal Palace
Tottenham Hotspur
1.24
X
Thisted FC - Skive IK
Over 1.5 goals
1.21
X
Lazio Roma - Udinese Calcio
SS Lazio Roma
1.31
X
Atalanta Bergamasca - Spal 2013
Over 2.5 goals
1.60
X
Limon FC - AD Grecia
Over 1.5 goals
1.19
X
FC Thun - FC Lugano
Over 2.5 goals
1.75
X
Villarreal CF - Malaga CF
CF Villarreal
1.65
X
Odds: 17.40