Yan amenichania mikeka yangu 3 manina zake
Mkuu huenda kuna uchaw wa hali ya juu kwenye haya mambo dahHuyu Kanji ni dawa au kitu gani anatumia? Si wanasema uchawi hauvuki bahari?
Inter wameniboa sana leo.
Inter ******* sana.
[emoji1] "uchawi wa hali ya juu"Mkuu huenda kuna uchaw wa hali ya juu kwenye haya mambo dah
Mkuu inter kanimalizia kamtaj kangu,alaf nilikuw namuamin nikamuweka kwenye mikeka 3 [emoji19][emoji1] "uchawi wa hali ya juu"
Dah, pole sana kiongozi, sometimes ajali tu.
Siku nyingine ukicheza mikeka zaidi ya miwili, usirudie timu. Kwanini urudie timu wakati ziko kibao tu?. Ila pole Mkuu Ndiyo michezo ya kubahatisha ilivyo, ina matokeo mawili tu, Kupata au Kukosa.Yan amenichania mikeka yangu 3 manina zake
Sawa mkuu sitarudia kosa tenaSiku nyingine ukicheza mikeka zaidi ya miwili, usirudie timu. Kwanini urudie timu wakati ziko kibao tu?. Ila pole Mkuu Ndiyo michezo ya kubahatisha ilivyo, ina matokeo mawili tu, Kupata au Kukosa.
Kuna team zinaaminika mkuu.Siku nyingine ukicheza mikeka zaidi ya miwili, usirudie timu. Kwanini urudie timu wakati ziko kibao tu?. Ila pole Mkuu Ndiyo michezo ya kubahatisha ilivyo, ina matokeo mawili tu, Kupata au Kukosa.
Bet lostView attachment 624824Baada ya Inter kushirikiana na Khanji, ngoja twende hivi game za saa 11 jioni, mwendo wa first half.
Mkuu acha tu, leo kila nikimlia denge mhindi namkuta mbele.Bet lost