unatumia kampuni ganMechi zimeanza naona moja moja
unatumia kampuni gan
mkuu mimi natumia premier bet ndio ilikuw na option nzuriMeridian
Bet Won!Single ya odds 1.7
FC Fredericia v Viborg FF 2.5+
Every little helpsLiwalo na liwe.
BET WONnimebakiwa na elfu hamsini pekee naiweka yote hapa nikipigwa natulia wiki mbili nzima
Schweinfurt 05 - 1 FC Nuremberg II
Over 0.5 goals in first half
1.25
Ironi Rishon Lezion - Hapoel Bney Lod
1/2
1.31
Odds: 1.64
Hivi haitatokea GSW akashindwa?
Mimi leo namuua kwa first half nampa Miami ana odds 4.51 naweka 5000 tu ni bomu zaidi ya nyuklia.
Nimemjaribu kwa 5k tu mkuu huwezi jua lolote laweza kutokeaWale wako home!
In your line of thought mkuu, .Huwa unalendelea kuweka timu ngapi na shingapi? Ushauri wa bure usipende kubet zaidi ya tmechi 6, yani namaanisha timu sita kushuka chini. Ukiweza uwe unajiwekea mfano unatafta odds labda tatu tu kwa kila mkeka hii itakusaidia mfano ukitumia option ya Btts yes or no. Huwa na odds 1.40+ hadi 1.80. so utahitaji mechi 2 had tatu kupata odds 3+.
Chukulia mfano una mtaji wa laki. Kila mkeka weka 20000 unapata 60000+. Utakuwa na mikeka 5 ya 60k kila mmoja.
Ukichambua vizuri unaweza kuta kuanzia miwili inatiki. Ikitiki mitatu tayari una 180k.
Kikubwa kuepuka tamaa kwenye huu mchezo.
Binafsi huwa nacheza option ngumu kwa timu moja hadi mbili.
Ila ningekushauri uchambue mechi ucheze kwa BTTS (gg or ng), over 2.5 or under 2.5, second half over 1.5, home or away team over 0.5 or over 1.5, Hizi option zitakufaa kama utatumia mechi 2 had 3. Hii ni kwa sababu huwa na odds za kati its means 1.40+
Kama utacheza kwa mechi sita kwa kila mkeka utahitaji kutumia over 1.5, over 0.5 half time, over 0.5 second half, Double chance 12 (any one to win) under 3.5 or 4.5, half time under 2.5.
Kwa kujaribu huo ushauri wangu chukua hata 2500 jaribu kwa jero jero kwa kila mkeka.
People of God I greet you.
I had to take a pause baada ya kuanza ovyo, I violated the principles nikapigwa.
Am back to business.
Phoenix Vs Nets wamepewa points nyingi sana kiasi zinanitempt, though wote hawachezi D na wamekuwa wanascore sana, but 234 is too good for 2.0 odd.
Yaani nacheki game hata siamini ninachokiona argrrrrrrrrhhhhh[emoji45] [emoji45]Mpaka dakika hii game iko rated kwenye 212, wasipoenda OT hawatafika 233, hakuna huo uchawi hapa duniani.
Yaani nacheki game hata siamini ninachokiona argrrrrrrrrhhhhh[emoji45] [emoji45]
First half Total points ni 88. Daa Kanji noma sana
Game ya Celtics imeenda hovyo kashinda kwa tofauti ya points 3. Lakini plan B huwa haikosiAtlanta hawks V Boston Celtics
Boston Celtics -8.5
Miami Heats V GSW
GSW -15.5
Over 225.5
Nimeifata live game under 224..nimetia apo laki 2Yaani nacheki game hata siamini ninachokiona argrrrrrrrrhhhhh[emoji45] [emoji45]
First half Total points ni 88. Daa Kanji noma sana
Naona huku mkeka range ya points ni over/under 205.5, natupia Over hapo.Nimeifata live game under 224..nimetia apo laki 2