Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji28] [emoji28] [emoji28] huo mchezo unakupa matumaini unaweza kula hata mara 4 mfululizo, sasa subiri shughuli itakayofuata baada ya hapo.
root mwenyewe alowahi sema atakuja na mrejesho wa virtual sikuwahi kuona akifanya hivyo hahaahhaha noma sana
 
INTL
*Zambia vs Cameroon*
X

Mashaalah waalioooinaaa
 
Wakuu mchongo ni 1/2 yaani ashinde yeyote naona inalipa vizuri sana nampiga kama mara ya saba mfululizo kitu ambacho kwa siku za karibuni hakijawahi kutokea
 
Wakuu mchongo ni 1/2 yaani ashinde yeyote naona inalipa vizuri sana nampiga kama mara ya saba mfululizo kitu ambacho kwa siku za karibuni hakijawahi kutokea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunikumbusha hizi option yaani ni kama kuna mtu anachezesha hizi team
ukiwapa 1/2 unakuta wame draw [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kunikumbusha hizi option yaani ni kama kuna mtu anachezesha hizi team
ukiwapa 1/2 unakuta wame draw [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi naona imenilipa sema khanji hana formula
 
Wadau match ikiwa postponed pesa inarudishwa baada ya muda gani? kampuni ya princess bet
 
Mkuu mm nmeacha kabsa hii ktu
Kuanzia leo yan walichonifanya leo
Mungu anawaona hapana kwakweli
Bora tu nirud huku uwanjan kukochezwa
Really aisee
 
Yaan hapo umenivuruga ujue hizi mambo acha niwaaachie wenyewe acha niendelee kucheza biko tu
Dhaaa!!! Back tu huko huko na 3 mzuka
Maana ukija huku pressure utaipata na
45 minutes
 
root mwenyewe alowahi sema atakuja na mrejesho wa virtual sikuwahi kuona akifanya hivyo hahaahhaha noma sana



Hahahaha, kapambana na hali yake !! ...

Nliweka kilo nikawa naona raha kula 20K, 30K hadi 50K ... wakaanza kuchukua chao ... yani wamenila km 300K hv ... kwny hii likizo yangu, sina hamu. Ni bora ningeendelea tu kucheza kawaida.
Virtual ni mchezo wa kihuni sn. Sitaki hata kuuskia.
 
Haa haa haa aiseee hatar sana mkuu
Ile mchezo
 
Baada ya mkeka wangu kwenda na maji ... ngoja tufanye hivi bana, si ni weekend. Isiwe tabu


Buddy timu za Austria za kipumbavu sana tena haswa hizi league za chini. Wamenizamisha 70k leo. Sasa nipo hapa na ndovu zangu sina mda. Nasubiri tu league za msingi zianze. Katika hali ya kupooza machungu
 
kitu nlichosahau ni kijua uwezo wa waarabu yaani hii game leo ndio ntaamini kanji mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…