Losser Bad
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 583
- 1,348
Buddy timu za Austria za kipumbavu sana tena haswa hizi league za chini. Wamenizamisha 70k leo. Sasa nipo hapa na ndovu zangu sina mda. Nasubiri tu league za msingi zianze. Katika hali ya kupooza machungu
Virtual mi naicheza kila usiku
Hadi nishasahau kuhusu mambo ya dakika 90
Tatizo la virtual wakiona tu account ina hela
Wanakuletea Brazil na Japan odds 1.25 unaweka mzigo wote unabebwa
Ila ukiwa na laki unaweza lala na laki ndani ya nusu saa
Pia unaweza mtukana mhindi na timu husika
Maana anything can happen in a second
Buddy timu za Austria za kipumbavu sana tena haswa hizi league za chini. Wamenizamisha 70k leo. Sasa nipo hapa na ndovu zangu sina mda. Nasubiri tu league za msingi zianze. Katika hali ya kupooza machungu
24 hoursWadau match ikiwa postponed pesa inarudishwa baada ya muda gani? kampuni ya princess bet
Umepoteza 300k
Mi nilipoteza 500k siku moja I'll sikuacha
Sikuweka yote kwa mara moja
Ila zilienda ndani ya nusu saa hivi ikawa zero
Ila mdogo mdogo nazirudisha afu nimeacha zle tamaa hivyo naweza cheza Mara moja kwa siku nikalala
Chief hizo ndio njia zangu, zile za odds 20 hapana aisee napigwa mno na hapo unaongelea odds kati ya 1.18-1.25Maana hawa watu wanacheza na akili zetu kuwa akiliwa lazma atataka arudishe na hapo ndio twakosea na kuliwa sana
Ukiwa na laki yako ukawa watafuta mechi 1 yenye faida ya 25 au 18 kila saa moja kea masaa 6 tu kwa siku una 150hivi
BET LOST kwa sababu ya kikapu kimoja dahSan Pablo Burgos v Ucam Murcia
2
1.63
Jeunesse Laique de Bourg-en-
bresse v Paris Levallois
1
1.48
BK Opava v BK Jip Pardubice
1
1.53
odds 3.69
Hatari sanaBET LOST kwa sababu ya kikapu kimoja dah
Tuingie chimbo tena. Naona NBA ipo alfajiriBET LOST kwa sababu ya kikapu kimoja dah
Nangoja refa atoe kadi kipindi cha kwanza kwenye mechi ya Spain v Costarica maana nimetia mzigo wangu woteTuingie chimbo tena. Naona NBA ipo alfajiri
Mkeka wako hukuwaweka akina GERVINHONangoja refa atoe kadi kipindi cha kwanza kwenye mechi ya Spain v Costarica maana nimetia mzigo wangu wote
Hao wametepweta mno hawaaminiki sikuwawekaMkeka wako hukuwaweka akina GERVINHO
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Km Vp hama nlwaulzaga walisema wanarekbsha ila itachukua mdaHivi GSB wamefunga kampuni yao au vipi...week ya tatu nashindwa kudeposit na mm ndiyo nilishahamua ndiyo corporate company kwangu kwa kuweka mikeka sababu ya wingi wa option..anybody with a clue of what is going there...kuna mtu anaweza deposit GSB kwa sasa ktk week 3 hizi?