Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama haifunguki itakuwa ni tatizo la mtandao au wao wenyewe wamefanya kama kawaida yao ifikapo wkend website yao hua nzito sana kufunguka
Nimejaribu hiyo ya gateway gaming ltd,hivi wanalipaje?nijuze mkuu
 
Jamani hawa gateway wanalipaje?mfano.ukitupia mzigo wa buku!na mkwanja mrefu ni upi na unaupataje?
 
Watu wa dkk 45 za kwanza Mkeka ushachanika....ha ha ha Acheni Kamari vijana
 
tayari tushamdunga muhindi nasubiri celtic amalize game hongera spurss.
 
Watu wengi wamekula za uso leo... kamali ni pasua kichwa.. bora kuuza matembele... hahahahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…