Kweli mkuu canada naona wanafumuana ile mbaya aiseeIpo bomba over 4.5. Naona ligi za USA na CANADA zinahusika
Site twa test mitambo mkuu maan daa khanji kwenye football mi kaninyoosha mpak nikanyosheka aisee timu unaipa over 1.5 inatoa under 1.5 ukiweka under 3.5 yanatoa over 3.5 aseeeMkuu nilikuwa Natest Mitambo maana sijui chochote kwenye ice hockey ngoja nijaribu huu ukiritimba najua kesho nitakuwa mtaalamu.
Hawa wa Thailand, Wachina, Wajapan, Wakorea nishaachana nao.... Ligi tamu ni Norway daraja la tatu, kule mwenye odds ndogo lazima ashinde.Mbabe wa ligi tena yuko nyumbani na alipewa odds 1.1 amepigwa na mwenye odds 19 ... daaaah !
View attachment 631298
dakika 60, first 20 , second 20 and third 20.Wanacheza dakika ngapi?
Mkuu si tuendelee na Hockey yetu au unanikimbia unaniacha pekee yangu kule.Msaada tutani hapo wandungu nataka nilipuke na basket mkuu Buddy, koncho na wengineo weken baraka zenu hapo kabla cjajilipua
Mkuu nimeweka nasubilia kuvuns pesa tu then asubuhi niamke na pesa tena ya basket au ndo inaitwa tamaa hahaha ngja nitemane nazo hiz za basket tu aiseeMkuu si tuendelee na Hockey yetu au unanikimbia unaniacha pekee yangu kule.
Mkuu timu yako vipi huko mkeka unapumua lakiniMkuu si tuendelee na Hockey yetu au unanikimbia unaniacha pekee yangu kule.
Unapumua kwa kasi sanaMkuu timu yako vipi huko mkeka unapumua lakini
This also killed me...nimeshangaa balaa tena nilimpa handcap ya 0-2Mbabe wa ligi tena yuko nyumbani na alipewa odds 1.1 amepigwa na mwenye odds 19 ... daaaah !
View attachment 631298
kila la kheri mkuu popote utakapo kuta ligi ya canada-OHL weka over 4.5 huwa zinatoa na nimaramoja sana kuzingua labda timu moja tu kwa mechi za siku nzimaJamani nipo natest Hockey hapa, japo wanasema kubet ni bahati ila huku kwenye Hockey kuna bahati zaidi..... Bado mkeka unasoma ila ninapata mawazo ya kustaafu soka na kuhamia kwenye hockey.
Ukichagua timu mbili ukizipa ov 5 au 4 unapiga pesa safiiiiii, mimi nimetest kwa odds nyingi kidogo ili nione kama bahati itakuwa nami.
Asante mkuu naendelea kusikilizia hali naamini mambo yatakuwa mazuri.kila la kheri mkuu popote utakapo kuta ligi ya canada-OHL weka over 4.5 huwa zinatoa na nimaramoja sana kuzingua labda timu moja tu kwa mechi za siku nzima