Hao ni USA na Canada....wanafungana hatari...Kamanda unabet ligi gani hii?
Kuanzia night kali saa tisa kuna game za NHL,AHL-USA na WHL-CanadaLeo ukitupia ni tag chief?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimepokelewa kwenye Hockey na kipigo nahisi walikuwa wanacheza kwenye miamba sio Hockey ile nayoijua mimi.Taratibu tunahama kambi tutafika mpaka kwenye mbio za farasi
Huyu muhindi huyu atatutia uchizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hataro sana mimi najaribu kuweka over 4.5 game 10 zinaleta ods 15 natupia 5000 nalala nione itatoa????? Hakuna utafiti ulofanyika hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimepokelewa kwenye Hockey na kipigo nahisi walikuwa wanacheza kwenye miamba sio Hockey ile nayoijua mimi.
haahhaahahahhahaahahhaahhahahahaahhaahahahahahahha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimepokelewa kwenye Hockey na kipigo nahisi walikuwa wanacheza kwenye miamba sio Hockey ile nayoijua mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unacheza bila utafiti hahaha ila mimi kwenye soka kuna kiporo changu nimekiacha nakisubiri kipate moto huwenda nikastaafu soka na kinua mgongo kama Mungu atajaalia ila hockey naona wameanza nami vibaya japo nilikuwa nawatest kwa buku leo na nilipata odds 3000 hivi timu mbili zimeshindwa kutoa over4.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hataro sana mimi najaribu kuweka over 4.5 game 10 zinaleta ods 15 natupia 5000 nalala nione itatoa????? Hakuna utafiti ulofanyika hapo
Najaribu Cricket napo nione nini nitapata.haahhaahahahhahaahahhaahhahahahaahhaahahahahahahha
Mzee baba odds 3000 si mchezo aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unacheza bila utafiti hahaha ila mimi kwenye soka kuna kiporo changu nimekiacha nakisubiri kipate moto huwenda nikastaafu soka na kinua mgongo kama Mungu atajaalia ila hockey naona wameanza nami vibaya japo nilikuwa nawatest kwa buku leo na nilipata odds 3000 hivi timu mbili zimeshindwa kutoa over4.
Sikutaka kucheka ila acha nicheke tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Taratibu tunahama kambi tutafika mpaka kwenye mbio za farasi
Huyu muhindi huyu atatutia uchizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kipigo cha kanji kinatupagawisha mzee baba nakwambi kama kungekuwa na mchezo wa Rede mbona tungebetSikutaka kucheka ila acha nicheke tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaani nimekuwa na bahati ya kuharibiwa na timu 3 au 2 ila kuna siku labda ofisi zao zibomolewe ila kama wataendelea kuwepo najua nitawavua nguo muda si mrefu.Mzee baba odds 3000 si mchezo aisee
Huko kwenye cricket ndio utakutana Live na Bwana Khanji maana ndio michezo yaoNajaribu Cricket napo nione nini nitapata.
Nimeamua kubadili simu nilikuwa natumia Tecno ngoja nione huwenda ikawa ndiyo ilikuwa tatizo kubwa.Huko kwenye cricket ndio utakutana Live na Bwana Khanji maana ndio michezo yao
Mkuu vipi hatimae mla pilipili keka kasepa nalo aisee duu nihatari sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unacheza bila utafiti hahaha ila mimi kwenye soka kuna kiporo changu nimekiacha nakisubiri kipate moto huwenda nikastaafu soka na kinua mgongo kama Mungu atajaalia ila hockey naona wameanza nami vibaya japo nilikuwa nawatest kwa buku leo na nilipata odds 3000 hivi timu mbili zimeshindwa kutoa over4.
Kaondoka nalo na timu 3 odds zilikuwa 3000 ana bahati sana.Mkuu vipi hatimae mla pilipili keka kasepa nalo aisee duu nihatari sasa