Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana kulikuwa na tatizo la Kudeposti kwenye kampuni ya Premierbet kwangu mimi tangu jana pesa hajaingia kwenye akaunti kuna mtu ambaye tatizo lake lilitatuliwa jana? Kama yupo naomba anipe mbinu aliyotumia hadi wakaweka pesa kwenye akaunti.
mimi bado
 
Duuu pole san kiongoz ila ipo siku yake tu huyu mla pilipili
Mwenendo wa kwenye mabarafu ulikuwa unaenda hivyo kuna Timu hadi sasa zinaendelea kucheza ila matokeo yao yako vizuri ila hizo 3 zimenikosesha pesa mkuu.

(Nikibet kwa buku huwa sitaki kiweka odds chini ya 200)
 
Diuuu aiseee mi hapo ninge edit tu odd zangu tano bhasiii daa una upepo mzuri chief one day Yes mi nakuombea tu
 
Hii ni mara ya 3 kuna siku nimekujua mkeka wa timu 30 Barcelona akasepa na Mkeka wa milioni 7 huwa sioni ajabu maana najua kuna siku ataliwa hata kama si leo.
 
Duuuuu aiseee unakaupepo kazuri mkuu naomba tu unapopata time uwe unashare hap kwa jukwaa mwenye kuokota ataokota ili tutembelee nyota yako hahaha maan huwez jua yawezekna miongoni mwetu akaj kumtusua pesa ndefu
 
Usjali mkuu japo nasubiri ligi zianze nataka kutafuta timu 30 hata kama ni kwa wiki nzima niwape 2000 nisubiri majibu.
 
WaCanada na waUSA wako vizuri sana over 4.5 ni kugusa tu...ni timu chache sana utakuta imeshindwa kufikisha hiyo idadi ya magoli
Shukrani sana, maana hata sikuangaika na league za nchi nyingine nili base hapo hapo uliponishauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…