Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hii ni kamari na mtu ukila leo unaweza kutumia hio formula ukapata ila kesho ikabuma. Chakufanya hapo ni mtu kuwa makini wakati wote.Halftime/fultime
Mfano
Tottenham vs Arsrnal
1-1 hapa inamana tott ashinde mwanzo mwisho
2-2 hapa inamana Arsenal ashinde mwanzo mwisho
Sasa unaangalia mechi yenye odds nyingi kwenye hivyo vipengele viwil maana kuna zingine utakuta
1-1 ina odds ya 4.12
2-2 ina odds ya 7.26
Alafu unaangalia timu nyingine moja au mbili zenye odds za mbili mbili
Mfano
Villareal 2.14 win
Notts forest 2.12 win
Sasa hapo unaigawa hela uliyo nayo kama n 10000
Unaweka5000 kwa 1-1 totto
4.12*2.14*2.12=18.7 odds
5000*18.7=93458
Unaweka 5000 kwa 2-2 Arsenal
7.26*2.14*2.12=32.9 odds
5000*32.9=164685
Hapo unakuwa unauhakika wa kula kwa timu pande zote labda zitoe draw fanyen kubadilika lasivyo muhindi atawaua hiv hiv mnajiona😂😂😂😂😃😃😂😃😂😃😂😂😂
💶💶😋😋mimi napiga misimbaz tu😋😋😋
What comes around goes around.hizo njia zote ni kupunguza risk tu ya kutokuliwa.hii ni bahati na sibu na itabaki kuwa bahati na sibu hamna uhakika na kitu chochote.tunachangiana sisi wenyewe kuondoa matatizo,leo kwangu kesho kwako.kuna option rahisi kama za timu kupata goli moja yenye odd ya 1.02 hasa kwa timu kubwa dhidi ya dhaifu na bado ukala za uso asi score.kutuambia tusibetie kwa tamaa kwa vile umekula tambua hao washindi wanao piga kuanzia 15 million wali bet kwa tamaa na mwishowe vikatiki. No matter what kamari itabaki kuwa kamari
umeonae....nimeliwa mikeka kama kumi ya takribani 20,000 na kula mikeka kama mitatu kiasi cha 476,000 na nilitumia 50,000 kubetia..nina faida kubwa hapo afu munasema hii ishu hailipi labda kwenu nyie munaobeti kwa tamaa ya kula mamilioni...mtasubiri sana...tumia akili zako zote unapoingia pale na usibeti kwa papara.....
Man u win 1.89
Barcelona win 1.31
PSG win 2.07
Newcastle win 2.15
@50000
Mchango wa mawazo plz.
Hii ni bahati nasibu mzee,shukuru kwa bahati uliyonayo tu hilo ndo la msingi.....!!chakushauriana hapa ni kucheza gg huku balance ikiwepo ya kuokoa mkeka ili pesa isiende yote ukiwa online kwa game moja tu.
Msaada tafadhal wana jamvi nna buku 3 nataka kubet leo vp nimuweke nan nimpge mhindi?
Tupia kwenye timu zifuatazo:
Fc Augsburg win
Sevilla win
Man u win
Barca win
Ajax win
Total odds 15.5
PSG.....Nina mashaka nao...weka hiyo game GG...ni mtazamo tu...
Ebu nielekeza maana ya gg mi Niko m.bet
maana yake wafungane magoli wote...ikitoka 2-1, 3-2, 1-1, Idadi ya magoli yoyote ilimradi wafungane