GsbDuu hatimae fedha yangu ndo imerudishwa leo laki moja toka tarehe 22/9
Ndiyo ila niligeuza kibao nilianza kuwabana voda nashukuru fedha imerudishwa
Hongera mm bado hadi leoNdiyo ila niligeuza kibao nilianza kuwabana voda nashukuru fedha imerudishwa
Jaribu kubanana na voda watakusaidia...ingawa nao duu l!! Nakumbuka mpaka niliposema mteja wenu natapeliwa nyie mpo kimya ndo wakaanza kufuatiliaHongera mm bado hadi leo
sijui mkosi gani leo asubuhi meridian nao nimediposit mpka sasa fedha hamna na simu hawapokei email nimetuma nazo naona kimya [emoji134]Jaribu kubanana na voda watakusaidia...ingawa nao duu l!! Nakumbuka mpaka niliposema mteja wenu natapeliwa nyie mpo kimya ndo wakaanza kufuatilia
mimi mwezi sasa 30,000 yangu kimya wakadai niwatumie muamala nikawatumia zaidi ya mara 5, nikaamua niwahame jumla jumlaJaribu kubanana na voda watakusaidia...ingawa nao duu l!! Nakumbuka mpaka niliposema mteja wenu natapeliwa nyie mpo kimya ndo wakaanza kufuatilia
Jaribu na Rugby uhakikaNajaribu Cricket napo nione nini nitapata.
Mie nime deposit sasa hivi kwa kutumia computer sijapata tatizo lolote pesa imeingia mara moja. Sasa sijajua tatizo lilikuwa nini kwako.Jana kulikuwa na tatizo la Kudeposti kwenye kampuni ya Premierbet kwangu mimi tangu jana pesa hajaingia kwenye akaunti kuna mtu ambaye tatizo lake lilitatuliwa jana? Kama yupo naomba anipe mbinu aliyotumia hadi wakaweka pesa kwenye akaunti.
Duuu kweli hilo ni jamvi aisee uko vizuri kwenye makokoro hakika ipo siku mhindi ataita maji mmaHuwa ninapata Zaidi ya Odds 1000 ila zinavurugwa na timu chache sana, Kama uko vizuri hebu tusaidiane kama utapenda lakini.
Ice Fucking Hockey
Mkuu ninataka hata watu kumi kila mmoja alete timu 5 ambazo anaamini piga uwa zinaweza kuwa upande wake tuweke over 1.5 goal tu (hata kama tunachanganya football na michezo mingine ila kila mmoja achimbe timu 5 ambazo anajua haitakuwa rahisi kumwangusha)Duuu kweli hilo ni jamvi aisee uko vizuri kwenye makokoro hakika ipo siku mhindi ataita maji mma