Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mr Q na wakuu ndungu zanguni mwenye ushauri hapo nimtoe nani maan nahitai odd 3 tu hapo zipo 5.37 princebet maan natak niweke nyumba ya jiran hap ndo stake yangu ya leo kwa ice hockey
Mkuu Raphael kma upo hum msaada hapo aisee
 

Attachments

  • Screenshot_2017-11-16-16-33-36.png
    24.3 KB · Views: 49
mkuu Vp Group la Betting
 
Mi mnipe kwenye ice hockey tu maan mpira ushanivuruga sina bahat nao nikiweka over 1.5 michezaji full kukata viuno kwa uwanja wanatoa under 1.5
 
Haswaa mkuu nondo ziletwe hapahapa jukwaani people wachambue
Nasubiri kwa wataalamu wa kila mchezo waje hapa tujadili kuhusu hili kwa atakaye ona ni vyema aseme au aweke timu 5 ambazo anajua haitakuwa rahisi kumwangusha.

Karibuni.
 
Mr Q na wakuu ndungu zanguni mwenye ushauri hapo nimtoe nani maan nahitai odd 3 tu hapo zipo 5.37 princebet maan natak niweke nyumba ya jiran hap ndo stake yangu ya leo kwa ice hockey
Mkuu Raphael kma upo hum msaada hapo aisee
mkuu huko huwa sichambui najiwekea tu naangalia odds ndogo hahahhaha
 
Hivi kumbe badogo tu mnabetigi.... Mmmmhhh....
Mwenzenu tangu nizamie kwenye Forex Trading, habari za kubeti sitaki tena kuzisikia..
Nisha uninstall ma app yoote ya betting kwenye simu yangu...

M bet nilikua na sh.750/= nishawaambia waichukue tu hiyo balance.
Account yangu ya Premier Bet niliwaambia waifunge kabisa, sijui washafanya hivo.
 
Hivi kumbe badogo kuna Forex Trading? Nishafuta account zao zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…