Mr Q nimekuinbox nichekhuu wa umekamilika saiv na niliuweka jana sa tano usiku
won! won! won! won! won! won! again namshukuru Mungu. Nikiri tu wazi hakuna option tangu kubet kwangu iliyo nipatia kijani mfurulizo kama hii(labda wakat nacheza live in play)
View attachment 633449
Mkuu unatumia live score gan kuchek ligi zinazotoa draw nataka nihamie huko....huu wa umekamilika saiv na niliuweka jana sa tano usiku
won! won! won! won! won! won! again namshukuru Mungu. Nikiri tu wazi hakuna option tangu kubet kwangu iliyo nipatia kijani mfurulizo kama hii(labda wakat nacheza live in play)
View attachment 633449
tatizo unatumia vpn haiwezi kufunguka hata siku moja coz wameiweka .co.tz itumikea tanzania tu location yako sio ya tanzaniaKila nikiingia kwenye website ya meridianbet naambiwa nchi yangu imekuwa blocked iwe kwenye pc au simu kote majibu ni yale yale.....Nimewapigia wananiambie nirestart pc lakin tatizo lipo palepale.......Msaada ndugu zangu
Duh hii ilinipita ya leo natembea NATO mkuuhuu wa umekamilika saiv na niliuweka jana sa tano usiku
won! won! won! won! won! won! again namshukuru Mungu. Nikiri tu wazi hakuna option tangu kubet kwangu iliyo nipatia kijani mfurulizo kama hii(labda wakat nacheza live in play)
View attachment 633449
Kila la kheri mkuu. Endelea tu kumgonga mhindi hadi kieleweke.huu wa umekamilika saiv na niliuweka jana sa tano usiku
won! won! won! won! won! won! again namshukuru Mungu. Nikiri tu wazi hakuna option tangu kubet kwangu iliyo nipatia kijani mfurulizo kama hii(labda wakat nacheza live in play)
View attachment 633449
LEO NIMETEMBEA HIVI
JUVE W
Lyon W
Valencia W
Inter W
Zenit W
Marseille DC
Stake buku 5 = efu 58
Mkuu unatumia vigezo gani kufanya uchambuzi wa half time?huu wa umekamilika saiv na niliuweka jana sa tano usiku
won! won! won! won! won! won! again namshukuru Mungu. Nikiri tu wazi hakuna option tangu kubet kwangu iliyo nipatia kijani mfurulizo kama hii(labda wakat nacheza live in play)
View attachment 633449
NdioHapo DC ni Double Chance?
Duuu mkuu inabidi uweke na za leo yaani kwa mtindo huu mpak mwak unaisha kila mtu hum atakuwa katimiza malengo alojipangia eee Mungu tusaidiemuhind kafwata
Yaaaaaa Mr Q n kweli hata mm naomba kujua unatumia vigezo gan kujua hii inatoa droo......mfano tayar nimeinstall flash score baada ya kuangalia mech n vigezo VIP vinavyokufanya uiweke mech hiyo droo???? Msaada mr q vipigo vya kanji vinantamanisha nitumie option yako[emoji27] [emoji27]huu wa umekamilika saiv na niliuweka jana sa tano usiku
won! won! won! won! won! won! again namshukuru Mungu. Nikiri tu wazi hakuna option tangu kubet kwangu iliyo nipatia kijani mfurulizo kama hii(labda wakat nacheza live in play)
View attachment 633449
Yaa mr umefikiria mbal kama mm nimemquote ila haja nijibu kuhusu vigezo atupe ushauri na ssMkuu unatumia vigezo gani kufanya uchambuzi wa half time?
Huu mkeka nimeuelewa.LEO NIMETEMBEA HIVI
JUVE W
Lyon W
Valencia W
Inter W
Zenit W
Marseille DC
Stake buku 5 = efu 58