Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napenda kutuma salamu kwenu Mtoto wa nzi, Root, r_baharia, Rockcity native, mathematics, Dragondreamx, xyz123, Deo Corleone na wakongwe wote wa uzi huu, mbona kimyaa?

Au ndo mnamkimbiza Mhindi kimya kimya?

mdau tupo.... tunasoma mchezo.....
mimi binafsi naona humu kumekuwa na stori mingi kuliko mawazo..... nakumbuka tulikua tunachambua mechi nini..... sasa kuna wajuvi wameingia.... acha wakongwe tuwaangalie..... nyota zao..... unapost tips mtu anaponda ...unapost aina flan ya betting mtu anakurupuka anaponda hajui hata uo ni mchezo gani.... wengine kubishana net hatuoni faida ...kila.mtu anachezea pesa yake...kiroho safi....kimya kimya.....
 
Last edited by a moderator:

Hio ni kweli mkubwa. Ila inabidi tuwapotezee tupige kazi kwa umoja. You never know anayeponda ni nani. Labda ni agent wa muhindi kaja kutopoteza maboya.
 
Kama ukiwa ni mtumiaji wa meridianbet hiyo option ipo sana.Acha hiyo na kuna ya GGGG maana yake kila kipindi wafungane
LUNYASI..... usichanganye watu.... meridianbet na M-BET ni kampuni tofauti katika options zao...M-BET hawana gg ......please usipotoshe uma...
 
Man.u mmeniharibia ila asante kwa GG na pia Waste ham asanteni kwa home goli
 

Ninakuelewa mkuu!
 
Hichi kijiwe ni kijiwe cha WABINAFSI sana hata ukiuliza kitu watu hata kama wanajua wanakaa kimya labda wanahisi utafaidi sana.nimeuliza meridian wanajiungaje pia watu kimya website yao ikoje watu kimya aaagh endeleeni kufaidi mi nimepigwa.
 
Hichi kijiwe ni kijiwe cha WABINAFSI sana hata ukiuliza kitu watu hata kama wanajua wanakaa kimya labda wanahisi utafaidi sana.nimeuliza meridian wanajiungaje pia watu kimya website yao ikoje watu kimya aaagh endeleeni kufaidi mi nimepigwa.

sio wabinafsi ndugu hapo unakosea.
Ulivyoingia kwenye thread hata page ya kwanza hujasoma? moja kwa moja ukapost ama????
 
Hichi kijiwe ni kqkijiwe cha WABINAFSI sana hata ukiuliza kitu watu hata kama wanajua wanakaa kimya labda wanahisi utafaidi sana.nimweuliza meridian wanajiungaje pia watu kimya website yao ikoje watu kimya aaagh endeleeni kufaidi mi nimepigwa.
WWW.meridian.co.tz
 
Hichi kijiwe ni kijiwe cha WABINAFSI sana hata ukiuliza kitu watu hata kama wanajua wanakaa kimya labda wanahisi utafaidi sana.nimeuliza meridian wanajiungaje pia watu kimya website yao ikoje watu kimya aaagh endeleeni kufaidi mi nimepigwa.
Acha lawama Wewe,Maelezo yote yapo page ya kwanza hapo
 
bado naendelea kujifunza kwa nadharia na matendo pia.
one day nitaimprove na kuwa serious zaid
 

Attachments

  • 1423462061562.jpg
    41.4 KB · Views: 176
  • 1423462098360.jpg
    40.8 KB · Views: 176
Ndugu mteja muamala wako transferId umefanyika kikamilifu. Tiketi #156681 .Ya kuuzwa 2015-02-08 15:55:32.Dau: 10,000.00 Tsh. Uwezekano wa kushinda: 67,242.78 Tsh.GAE lose:1.42,SGI win:1.46,WHA lose:1.89,ATH lose:1.31,CER lose:1.31,seti #76K .

anderletch
ajax
gijon
barca
man utd

aseeeeee ........chaliiii man utd bana
 

Falcao yeye na kipa akashindwa kufanya kama mesi
 
Eskisehirspor
- Galatasaray
2.12 Eskisehirspor
Lose
Feb 9,
2015 -
8:55 pm
Jong Ajax -
Achilles 29
1.56 Jong Ajax
Win
Feb 9,
2015 -
9:55 pm
Tsv 1860
Munich - Fc
Heidenheim
2.15 Tsv 1860
Munich Win
Feb 9,
2015 -
10:10
pm
Lazio - Genoa 1.52 Lazio Win Feb 9,
2015 -
10:40
pm
Farnborough
- Boreham
Wood
1.50 Farnborough
Lose
Feb 9,
2015 -
10:40
pm
Telstar - Fort.
Sittard
1.67 Telstar Win Feb 9,
2015 -
9:55 pm
Nec
Nijmegen -
Jong Psv
1.19 Nec
Nijmegen Win
Feb 9,
2015 -
9:55 pm
Mvv - Jong
Twente
1.56 Mvv Win Feb 9,
2015 -
9:55 pm
Samsunspor
- Alanyaspor
2.15 Samsunspor
Win
Feb 9,
2015 -
7:55 pm
Bradford -
Milton
Keynes Dons
2.29 Bradford
Lose
Feb 9,
2015 -
10:40
pm
Payment instructions
Please dial M-Pesa
*150*00# and put
219966 business
number with
reference number
19502 .
Go to football
Normal PDF print
Ticket information
Feb 9, 2015 - 12:49
pm
Created on
1,000.00 Tzh Amount
247,454.72 Tzh
Potential winning
77 Set number
Normal Game
Payment information
19502 Reference
number
M-Pesa Payment
method
219966 M-Bet
business number
 

😱 hii ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…