Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

thanx mkuu,ila wanatoa mda mfp mno kuchagua yan wanatia mawenge hawa jamaa

huwa wanatoa dk 2 kutengeneza mkeka.. Inabidi uwe fasta kutengeneza. Unaweza kutengeneza hata game 5 kama upo fasta
 
wakuu kuna timu 1_3 pale mbet sijui za wapi wana odds nzuri kwa home team.nimewapa wao kwa bukujero inakuja kama ten hivi.
 
Bursapor,fc eidhoven,schalke na monaco. Halafu hawa mbet either waongeze dakika ziwe 4 au pale walete timu hata 5 basi. Unakuta timu ipo no 1 nyingine 15 na nyngne 23 huko,unapga mkeka unaambiwa dakika zimeisha.
 
unaona eeh, yan kama game za wikeend ndo inaboa sana unakuta game 1 kujakuitafta nyingine ya 30, yani inaboa kichizi.. Kuna watu wao wanachungulia humu nadhani watarekebisha
 
wakuu kuna timu 1_3 pale mbet sijui za wapi wana odds nzuri kwa home team.nimewapa wao kwa bukujero inakuja kama ten hivi.

nimejaribu kuzichek livescore lakin sijaziona.. Ngoja niwape wenyeji mzigo game zote 3
 
uuuh. jamani hizo team zenyewe ukiangalia recent form zao...mpaka unachoka....for ur own risk unaweza ukaniiga mimi..revente win and auxerre lose...points zake 3. 2 .
au anayetaka pesa za fasta aweke monaco, schalke 04, dulka praha na bursaspor
 
Mkeka mzuri uko huku achaneni na hiyo ya simu na mkeka wa kesho umeshatoka

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ningeweka ingekua levante dro,monaco,shalke04 na auxere
 
Fateni statistics msifate jezi na majina ya timu. Heheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…