Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

GG zinatoa fresh tupunguzen kuweka win coz kwa mpira wa sasa ni risk sana
 
This is football, anything can happen. Hakuna alieamini Chelsea angefungwa na Bradford.
Madrid kufungwa 4-0
Macity na Man U kudraw tena kwa kutoka nyuma.
Kane kuwafunga Arsenal goal mbili na kuipa Tot ushindi.

As i was said,liv 3 v 2 tott
 
Mimi sijuwi lolote kuhusu betting. Naomba nifundishwe! Kuna kipindi nilikua nacheza ile ya mbwa na nilikua napata pesa nzuri tu! Nifundisheni na mimi nivune hukoo......
 
jamani nimepata kitu kipya kutoka feedburner cha kumpusa muhindi hichi tunadeal na idadi ya magol ya kipindi cha kwanza na cha pili, kwa kawaida kipindi cha kwanza kinakuwa na odds 3 na points kazaa hv na pia cha kunakua na odd 2 cha kufanyakama unamtji wako unaugawa mara mbil kisha unaweka mzigo kwenye game moja lakin weka mikeka miwil mmoja 1HALF magol meng wa pil second haif magol meng
mfano una mtaji wa 20000
1 half ikikubali 3*10000=30000
2 half ikikubal 2*10000=20000
hii mbinu ni nzuri sana ila tatizo linakuja kama magoal ya kipindi cha kwanza yanakuwa sawa na kipind cha pil hivyo muda mwingine tucheze draw na 2 half hasa kwenye mechi ngumu.
kwa maelezo zaidi na mbinu za ziada google feedburner
 

Mmh! Feedburner ? Embu weka link kaka
 
leo ni hivi hizi mechi magoli yafungwe kuanzia dakika ya 28.....

west brom 28+
wigan 28+
espanyol 28+
newcastle 28+
westham 28+
besiktas 28+

odds 73
 
leo ni hivi hizi mechi magoli yafungwe kuanzia dakika ya 28.....

west brom 28+
wigan 28+
espanyol 28+
newcastle 28+
westham 28+
besiktas 28+

odds 73

Kuna hiyo option mkuu?...Yaani magoli yaanzie dk 28 kuendelea au?...Chini ya dk 28 umeliwa sio?
 
MANCHESTER
UTD
1.23 WIN
STOKE CITY 1.62 LOSE
BARCELONA 1.17 WIN
CHELSEA 1.27 WIN
PARIS SAINT
GERMAIN
1.23 WIN

na hapa je?
hapa nilimpiga lakini nilituma pesa azikuenda kwanzia hasubuhi nilikuwa aweka 20000 ningekula 72 elfu.hivi wadau siwezi kukata rufaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…